Special day, special person and special celebration. May all your dreams and desires come true in this coming year. Happy birthday my love
jamani mnisaidie kumuwish my sweetheart Clkey...
Jamaa alikuwa amelaa na mkewe saa tisa ya usiku akastuka baada ya kusikia mtu anabisha hodi, kwenda kufungua mlango akamkuta jamaa kalewa sana akiwa kasimama mlangoni kwao
JAMAA: Nini tena...
UTAJUAJE KAMA WEWE NI MUHENGA?
1. Kama ulikata daftari mara mbili. Kipande kimoja ukaacha nyumbani na kingine ukaenda nacho shule. Wewe ni muhenga.
2. Kama ulitumia kipande cha kandambili kama...
Ni katika kutambua na kuenzi Kazi nzuri inayozingatia huduma bora, Wakati na Uaminifu mkubwa.
Watanzania jijini Dar es salaam hatimae waamua kuupa Mtaa jina la Dalali mzoefu na wa siku nyingi...
Nilisoma vitabu vya historia, kutokana na medical technology ya wakati huo, vifo kutokana na TB, malaria na magonjwa ambukizi mengine vilikuwa ni vingi sana.
Wa missionary waliokuja kueneza dini...
Heshima kwenu waungwana.
Nina huyu jirani yangu ambaye hatuna mazowea sana,ni mwanaume. Shida yangu ni kuwa ni mlevi hatari. Kama angekuwa hapigi mikelele usiku wala nisingejali. Lakini akilewa...
kuowa mwanamke asiyekwenda shule raha sana
ukitaka kwenda kwa mchepuko wako maongezi yanakuwa hivi
mke- safari ya wapi mume wamgu
mume- naenda mwanza kubadilisha profile picture mke wangu
mke-...
Mzee alienda kanisani kubatizwa alipotoka kwenye maji padri akamwambia “Sasa wewe ni kiumbe kipya,usinywe tena pombe na utaitwa Paul”. Alipofika nyumbani Paul akafungua friji akatoa bia ya Tusker...
JAMAA ALIMPENDA BINTI WA KILOKOLE JINSI YA
KUMWINGIA IKAWA NGUMU AKAAMUA ASOME
VIFUNGU VINGI VYA BIBLIA ILI AMKAMATE
KIRAHISI MAZUNGUMZO YAO YALIKUWA HIVI::
Mwanaume: sister mambo
Sister: mambo...
*Kuna aina mpya ya pilau imeingia, inaitwa pilau makinikia maana yake nyama unazitafuta kwa mbali sana na wakati mwingine usiambulie kabisa, chondechonde wenye mpango wa kutualika kwenye idd...
Habari za mihangaiko ya kazi wana JF,
Bila kupoteza muda ngoja niende direct kwenye mada iliyonileta humu. Nina miezi michache sasa nipo nchini Uganda kikazi, lakini imekuwa vigumu sana kukutana...