Wakati Wa mziki unatafuta Wa kucheza nae ukamatie kiuno.unampata Mara unaskia dj anasema "bado moja ya mwisho"apo ndo utatamani muda urudi nyuma au unatamani umrukie dj umchape vibao.
Duh unakuta...
E WAJUA *
*Kumdanganya demu kazi rahisi sana.?*
*Dem: Baby unaeza kuongea kitaliano?? Mana unapenda kuangalia michezo yao af unafurahi kweli.*
*Jamaa: Ee sana tu naweza ndio..*
*Dem: Eb ongea...
1. Kama ulikata daftari mara mbili. Kipande kimoja ukaacha nyumbani na kingine ukaenda nacho shule. We ni shujaa.
2. Kama ulitumia kipande cha kandambili kama ufutio.
3. Kama ulikanyagia kisigino...
[1] Regular naps prevent old age, especially if you take them while driving.
[2] Having one child makes you a parent; having two you are a referee.
[3] Marriage is a relationship in which one...
Mwalimu wa kawatoa nje wanafunzi wake.
Mwal: jamani angalieni Juu Mnaona nini?
Wanafnz: mawinguuuu..
Mwal: kingine..?
Wanafnz: hakunaa
Mwal: Mungu mnamuona?
Wanfnz: hatumuoniiiii...
Mwalm...
Kifupi unakuta mwanaume ana status nzuri tu lakini anakosa mwanamke anayejielewa.yaani wengine hadi wananiuliza sometimes mimi "hivi wewe unawapataje wanawake wazuri na wanaojimbua hivo".
Sasa...
Ndg zangu Amani ya bwana iwe nanyi, naomba niweke wazo langu na nia yangu ya muda mrefu inayochoma moyo wangu.
Nimekuwa nikiangalia kwa muda mrefu sana juu ya busara za Dada yetu maarufu kama...
Mtoto mmoja akiwa anatoka shule akielekea nyumban aliona paka mdogo akiwa amekufa. Akamsogelea na kumgusa kwa huzuni. Akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena...
Siku,mwezi,mwaka na hatimae miaka sasa tangu uone sayari hii ya dunia. Ni jambo la kumshukuru Mungu amekuvusha kwa mengi mpaka kufikia siku yaleo unapoadhimisha kuzaliwa kwako rafiki yetu...