Kama haujawahi isoma Namba njoo tusome hapa,
Unachotakiwa ni kuendeleza namba aliyoishia mwenzako ili tuone tutazisoma mpaka ngapi?
Mfano kama mwenzio kasema moja wew 2 na kuendelea
Karibuni...
Habari wana Chit chat.
Leo nimepewa heshima kubwa na Host wa kipindi hiki Zinduna ili kuendesha kipindi cha leo ambacho kina mgeni machachari na mwenye changamoto humu Chit chat na si mwingine...
Huyu jamaa najaribu kumsoma simuelewi kabisa..sielew anakubali chama gani,dini yake siielew. Maana kila anavhokiandika kaegemei upende fulani yani ukisoma maandiko yake na coments unaweza amini...
Ingefaa leo iwe siku maalum kwa Yule Bwana kujimwaya mwaya na baba yake humo sosho mediani kama walivyofanya wengi. Hivi hamna popote mzee Albert Bashite amewekwa na maneno "Happy Fathers' Day"...
Hivi wadada? Kwanini msiwe mnanikenulia na kunipa hiii!!!! nikiwa kwa miguu tu?
Mna nini wadada? Please naitaji smaile zenu pia nikiwa kwa miguu
Please
Ni matarajio yangu kuwa ombi langu litakubaliwa
*Sasa hivi ukitaka kupiga sound demu unatumia maneno haya yanayokwenda na wakati*
vita ya kutazama uzuri wako haijawahi kuziacha hisia zangu salama . nipe makinikia ya moyo wako. Naahidi kulipa...
*Sasa hivi ukitaka kupiga sound demu unatumia maneno haya yanayokwenda na wakati*
vita ya kutazama uzuri wako haijawahi kuziacha hisia zangu salama . nipe makinikia ya moyo wako. Naahidi kulipa...
Jana mida ya wakat Niko geto nikaskia sauti ya mahaba chumba cha jirani.
Sikuwa na wasiwasi kwan nilizan jiran ana enjoy makinikia yake.
Basi mida ya jioni Naona jamaa lingine linatoka chumba...
Marekani-siasa,muziki,teknolojia na maendeleo
Uingereza-mpira,masumbwi,starehe
China-kuzaliana,teknolojia,maendeleo
Japan-maendeleo,teknolojia, viwanda...
wanaume tupunguze ukali kwa wake zetu ipo siku ukalia kama rafiki yangu huyu yaliyomkuta
jamaaa alikuwa mkali sana kwa mkewe kiasi kwamba kosa dogo tu anashushiwa kipigo hatariiii
jamaa juzi...
*WIFE: Sweety, how many women have you slept with after we got married?*
*HUSBAND: (quiet)*
*WIFE: (10 minutes later) Sweety, I asked you a question* *!*
*HUSBAND: (Quiet)*
*WIFE: (15 minutes...
Dada mmoja alichoshwa na vituko vya mumewe akamwambia "bora ningeolewa na shetani kuliko wewe"
Mumewe akajibu "dini haziruhusu mtu kuolewa na ndugu yake"...[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Madikteta katika dunia hii ya tatu na hasa Africa yetu
Itele Mungu watu ,Bokasa ,Idd ,Mobutu
Mizinga nayo mitutu
Haitoi risasi inatoa marais walio madikteta.
Wandugu kwa wale waliooa na wake zao wako available embu jaribuni kunywa supu ya maboga madogo kama vibuyu Bila kutoa mbegu zake. Nakuambia kama mama hayupo house girl anaweza kufanywa kitoweo...