Oyaa kama mtasikia kuna mtu anauza gari Noah New model nzuri ina vibali vyote
kwa bei kati ya milioni 8 mpaka milioni 12 rangi yoyote haina shida. we Mwache Tu auze mi sina hela,
Nimesoma taarifa ya shedede na husna muba, pia nimesoma yule jamaa aliyekaa siti ya daladala na nyange wa jf na comment kadhaa. kumbe wenzangu mwakulana humu JF? mnatisha kabisaaaa na wala hamtoi...
Wakuu siku hizi kama mjuavyo yoyote anaeza kumtongoza mwenzake yani mwanamke anaweza pia kumtongoza mume.
Sasa we tumetongozana huko, tumekubaliana vizuri tukapumzike mahala flani ( na pengine...
Matangazo ya kibongo shida tupu, inakuwaje mwanaume asifiwe kawa mtamu?
Mtamu anajulikana ni mtu wa namna gani! Kwa kawaida chakula na wanawake ndio husifiwa kwa utamu, haya ni mazoea ya kiasili...
Kuna mashindano ya kula Ugali yalitokea na kuhusisha washindani watatu.
1.huyu mshiriki kwa mbwembwe zote alikula ugali na chumvi pakti ya kilo moja
2.huyu yeye alikula ugali na maji ya kunawa...
Habari wakuu
Namtafuta mjasiriamali wa viungo vya chakula humu JF anaitwa Zanzibar Spices. Tafadhali wasiliane nami ili nimpe oda ya viungo.
0713-039875
Kuna tuhuma nzito dhidi yenu kuwa siku hizi hamtembei na khanga za akiba kwenye mikoba yenu.
Wengi wanasema kuwa nyinyi wadada wa sasa huwa hamchukui tahadhari kabisa
Yani mkishavaa...
Salam kwenu.
Naomba kufahamu kwanini jf inawatumiaji wengi ambao majina ya id zao niyautata? Nahawaweki picha zao. Maana ukienda Facebook au Instagram unakuta jina halisi lamtu napicha yake...
Kutoka Kibanda Cha TigoPesa: Jamaa Kafika Kuunganisha Kifurushi Cha Muda Wa Maongezi Wakala Akamkaribisha Baada Ya Kumuunganisha Akamwambia Nimeshakujaza Tayari Kwenye Tigo, Kilichofuatia Wakala...
Kuna uwezekano wa kupata internent bure kabisa bila kulipia katika mitandao ya voda na Tigo kwa maelezo zaidi fuata profile yangu ya Facebook:www.Facebook.com/Calvi.Nation.Tz
Sent from my...
Habari
Kumekuwa na wimbi la baadhi ya wanaume kuanzisha nyuzi kwenye jukwaa hili au MMU, wakiwa tag memba wa kike kwamba wanawapenda sana. Hili limeshika kasi kubwa sana.
Inapotokea memba mpya...
Kwa kweli leo acha tu nitoe yangu ya moyoni.
Kila mtu hapa JF anasababu yake ilimfanya ajiunge humu.
Kwa kusema ukweli na Mungu wangu ni shahidi, mtu aliyenipelekea kujiunga humu ulikuwa ni...
Just imagine uko njiani unatembea kwa miguu ukiwa kwenye mishe zako.Ghafla unaskia umepigwa kofi zito mpk unafumba macho hujakaa sawa ngumi ya pua mpk damu inatoka ile unataka kukimbia unapigwa...