JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
. Majibu yenu pls.
0 Reactions
28 Replies
13K Views
Tufurahi pamoja[emoji2] [emoji2] [emoji2]
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi ni mimi tu au kuna wengine ambao nao hawajawahi kutongoza mademu humu JF? Sasa nawashangaa ambao mnatongoza mademu humu,hisia zinatokaga wapi?Picha uongo ,jina uongo!! Tena wale wanaokuja...
8 Reactions
53 Replies
6K Views
Nakushukuru Muumba kwa kamjalia Mama yangu kunileta duniani miaka kadhaa iliyopita siku kama ya leo, sina cha kukupa ila nakupenda sana Mama. Happy birthday 2 me
0 Reactions
2 Replies
696 Views
MAMBO KUMI ( 10 ) NILIYOJIFUNZA KIPINDI HIKI CHA MAGUFURI 1 ) Kumbe unaweza kushinda njaa bila kufa 2 )Kumbe unaweza kubeba chakula na kwenda nacho kazini. 3 )Bila bodaboda, Bila bajaji kumbe...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Jana nilijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye sm yangu. Katika futa futa si nimefuta namba ya bosi wangu. Halafu boss mwenyew wa kike. Mida ya Saa mbili usiku nikawa chumbani kwangu...
9 Reactions
9 Replies
3K Views
*Difference between TANZANIA , UK and USA. Wale hawajui kiingereza nimesema "Tofauti kati ya TANZANIA, UINGEREZA na MAREKANI.. *Kumtambulisha mke:-* USA - this is my lovely wife. UK - this is my...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Imagine mtu ambaye hajajiunga humu jf akakuuliza tangu ujiunge jf umepata faida kwa kiwango kipi na vitu gani umepungukiwa baada ya kujiunga humu ? Mimi tangu nijiunge humu JF baadhi ya vitu...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Jana ndo nimeamin wahenga wazushi kweli! Nilikuwa sina usingizi na nahitaji kulala. Bac nimeamsha watu 9 lakin wapi. Si walisema "USIMWAMSHE ALIYELALA UTALALA WEWE" Ebwanaee bac nimewaamsha watu 9...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Daah nimebadilika sana ile self control niliyokuwa nayo miaka yote imeisha.....nmeanza kuzoea matusi kuwa lugha ya kawaida kwangu sasa sio maneno tu hadi vitendo sasa vinaashiria Napotea...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
wakuu kwa wale old schools wenzangu,hivi haya mambo ya mchaka mchaka mashuleni yalifia wapi? kwanini walitukimbiza vile kipindi kile,hadi leo nimeshindwa kuelewa faida/hasara ya mchaka mchaka...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
wale wenye haraka ya kuolewa inawahusu. Madonna alikuwa na miaka 55 alipata mume mwenye miaka 22 Tiner Turner miaka 70 mume 42 J. Lo miaka 42 boyfriend miaka 26 Mariah Carey miaka 44 mume miaka 32...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
kutokana na mvua hii najikuta nasimamisha sana bajaj kuliko boda boda, hivi hapa nimeshindwana bei na bajaj kaenda zake #WapostPumba
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Napendekeza Miss Natafuta. Apewe Ban ya kutoa lugha ya matusi ktk michango yake na kututia genye humu huku tukiwa hatuna uhakika na jinsia yake.
3 Reactions
52 Replies
3K Views
KATI YA MCHINA Vs MZUNGU Nani ana cheti feki hapa?
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Siku yako ya kwanza kuangalia Video (television) ilikuwa mwaka gani? na ulijisikiaje kama unakumbuka ulikuwa mkanda gani? Mi nakumbuka ilikuwa mwaka 2003,kijijini kwetu huko Morogoro TV ndio...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
[emoji4] [emoji4] [emoji4]
0 Reactions
68 Replies
6K Views
2 Reactions
9 Replies
664 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…