JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari wana Jf.polen kwa ujenzi wa taifa hili ambalo inasemekana wananchi wake hawana furaha kwa kwa zaidi ya 90%.ila mimi ninafuraha sana tu kwa kuwa ni mzima wa afya siumwi. Ngoja niende kwenye...
6 Reactions
110 Replies
8K Views
Kwa heshima na taadhima napenda kuwasalimu wana JF wote mnaopatikana Iringa leo naingia Iringa hivyo kwa member aliyepo mjini si vibaya japo tukaonana na kubadilishana mawazo mawili matatu...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za saa hii wanajamvi.. Naimani wengi wetu tume kwenda shule na haka tabia pia kakubatiza walimu majina wengi wetu tulikuwa nako... Nikianza na mimi Sec kulikuwa na Mwalimu wetu wa civics...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baba alimuulza mtoto mbona leo unawai sna shule. Mtoto akamjbu: Namwahi mwalimu anayeuza bagia shuleni. Baba: Mjinga sna wee baada ya kuwai masomo unawahi bagia? Mtoto: Baba elimu haina mwisho...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu jf habar najua mko nahuzuni sana kwa msiba nilisikia pale juzi ilikuwa 6th/may kwakweli najua taifa liko kwenye majonsi ya hali ya juu kabisa nachotaka kujua ni jinsi gani naweza kuandaa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
SIZITAKI MBICHI HIZI Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia, Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea, Alitoka siku moja, njaa aliposikia, Njaa aliposikia, Sungura nakuambia Siku ile akaenda, Porini...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimepita shortcut makaburini nikakutana na tudemu tuwili tukasema tunaogopa.... Nikatuambia hata mimi nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa.... Guess what happened..!
2 Reactions
10 Replies
1K Views
umepewa tecno na tecno umeenda kununua selfie stik, je ukipewa Iphone 7 si utaenda Paris wakukodishe ule mnala #WapostPumba
2 Reactions
13 Replies
1K Views
UKIWA kama mdau wa starehe na mpenzi wa KWENDA night club hebu tujuzane ni tukio gani lililowahi kukuta ndani ya club ambalo hutolisahau....... Mimi upande wangu ni matukio matatu...
1 Reactions
86 Replies
12K Views
Wadau Ikitokea Fursa ya Kukutana na Mshana Jr utapenda kumweleza nini....?? Nini hasa Utamshauri...?? Kitu Gani Utamwambia....?
2 Reactions
133 Replies
6K Views
Kuchanganyikiwa ni pale, unapomwagiza jamaa yako wa karibu, akutumie million 2 kwa M-pesa ukalipie ada ya shule ya mtoto, baada ya hapo jamaa anakutumia muda wa maongezi wa million mbili...HAPO...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
starehe gani unayoipenda ambayo inaweza kukupotezea muda wako 1. mpira 2. sex 3. movie 4. music 5. talk 6. ????
2 Reactions
73 Replies
5K Views
nawaza dizain inaweza kukaa poa kama chalii za kenya tukutane hapa tujuane tupige mastor, tubadilishane mawazo oviaz mi niko na siku moja tu humu jf napenda kuwafahamu watu kuchomoka kenya...
0 Reactions
6 Replies
975 Views
mume na mke walikuwa wanaset password katika computer yao mpya, mambo yalikuwa kama hivi:- mume: naandika neno "my-penis" mke: hahahahahhahahaha mume: unacheka nini?? mke: angalia hapo kwenye...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu sio siri saiv MMU kumenoga,naona huku chit chat wanaume weng tunalalamika kuwa wadada wote wapo in pair na majamaa..sasa nimepita uko love connect ase katika zile threads za mwanzo wamejaa...
1 Reactions
7 Replies
991 Views
Kulingana na uwepo wa mitandao mingi yenye kitufe cha kutoa likes, JamiiForums ikiwa miongon mwao , japokuwa inanjia rahisi ya kutoa likes kwa wanaocomment na kushare vitu vya msingi, lakini mara...
28 Reactions
53 Replies
3K Views
Jamaa Akiwa Amerest Ghafla Anatumiwa Ujumbe Na Demu Wake... Demu: Hello My Dear... Jamaa: Hello Baby...(sms Sending Failed) Demu: Mbona Kimya Mpenzi Wangu.. Jamaa: Samaani Baby Network Ilikuwa...
3 Reactions
0 Replies
791 Views
TV1
wafanyakazi wa tv1 wanafanyakaz kazi gani?maana sioni zaidi ya vipind vinne tu kwa siku nzima muda mwingine uliobaki ni kfs sasa wanapoteza wateja watazamaji sababu wengi wetu tulipenda vipindi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
kweli tunaisoma namba mvua zote hizi mwaka huu hata wale kumbi kumbi hakuna :o :o #WapostPumba
1 Reactions
7 Replies
1K Views
*nimeangalia tamthilia ya kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja demu alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana,lakini je wanajifunza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…