Mtu kuambiwa kuwa kuna harufu mbaya(either ya mavi au ushuzi) kisha anaanza kutembeza pua ili aisikie na kupata uhakika.Huo ni ujinga sawa na kuonja sumu ili uone inavyofanya kazi.Mtu kukomaa...
MUME: darl ninakikao mkoani kesho naomba niandalie vitu pls
MKE: dada zile nguo za baba pmj na soksi ulifua?
DADA: ndio nimepanga kabatini.
Mama anarudi chumbani na kumuomba hubby wakacheki TV...
Hii nmeifanyia utafiti mm mwenyew,miongoni mwa dawa zinazotumika kusukutua mdomo baada ya kupiga mswaki ikiwemo listerine,oral b na zinginezo,inajulikana kua faida yake ni kulinda fizi na kua...
Bibi kapigwa mtama na Kibaka na kuporwa simu, Kainuka na kuanza kumkimbiza kibaka, Kibaka kuona Bibi hakati tamaa akatupa simu, Bibi kaikota na kuendelea kumkimbiza kibaka, Kibaka _"Bibi kama ni...
KUNA WATU MAKAUZU ila huyu ana Phd!!
Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa…. mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli.
Mshkaji kajikunja...
makampuni yaliyopunguza wafanyakazi wake kwa sababu mbalimbali
Voda wanapunguza wafanyakazi awamu ya kwanza
Tigo washapunguza awamu ya kwanza bado awamu ya pili
Coca cola wanapunguza awamu ya...
MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike?
MUME: Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladala
MKE: Na lipstiki kwenye shati?
MUME: Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi...
Kwa mfano ukapelekwa juu ghorofani ukapandishwa hadi kule juu rotion ya 15 chini ukawekewa godoro la upana wa miter 50×50 na unene wa miter 20 na ukaambiwa urukie hilo godoro upewe milioni 5...
kwanini hili shirika la ndege la Ethiopia wakiweka matangazo yao ya ndege kwenye mitandao ya kijamii hawaweki zile ndege wanaweka picha za wahudumu wao wa kike tu??
#WapostPumba
Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Salaam Wakuu,
Leo ni siku ya Maalum kabisa kwa watu muhimu sana katika nyanja ya afya duniani. Siku ya WAKUNGA.
Kila mmoja wetu hapa huenda Wakunga wamechangia kwa kiasi kikubwa ili kufikia...
*Juzi nlienda kumsalimia Dada angu kwake basi baada ya kukaa kidogo akaja mwanae akaanza kunambia anko KISIMI, hee nkashituka nkamwambia unasemaje ww akarudia tena KISIMI anko. Aisee nkashika...
Member wa jukwaa kwema!
Kuna vitu au mambo fulani hutendeka/hutendwa na tunayachukulia kawaida tuuu. Ila hivi ulishajiuliza hayo hayo mambo tunayoyachukulia kawaida yangetendeka au kutendwa...