JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ni memba mpya humu jmn
1 Reactions
5 Replies
751 Views
Je ww ni msichana mwenye miaka 22-30.. Na unapenda kufanya shughuri za mitindo(modeling)... Unapenda kusafiri nchi mbali mbali duniani? Unajua English? Una passport?... Kama jibu ni NDIO basi uko...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mi nakumbuka siku fulani mwaka nimesahau niliwahi kukutana na uzi jamaa anawadiss Wanafunzi wa vyuo wanaoning'iniza vitambulisho hata wakiwa nje ya chuo. Basi akatokea jamaa akamquote "Kwani kuna...
1 Reactions
74 Replies
5K Views
SIPENDI TABIA HII MIMI *Hakuna kitu kinachonikera kama mwanaume kumfuata msichana inbox iwe fb au whatsapp na kumuomba namba ya simu. Kama wewe ni msichana na unakerwa na hii tabia kama...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF,ninashida katika kujiunga account ya Twitter,kila nkijarb kujiunga inaniandkia "unfortunately Twitter has stopped" msaada wako ni wa mhm sana kwangu
0 Reactions
7 Replies
578 Views
Nyimbo gani umewai kupewa kama 'dekisheni' kutoka kwa mpenzi wako ambayo hutaisahau au ukiiskia unakumbuka mbali? M naanza na wimbo wa aslay ft mh temba unaitwa niwe nawe kila nkiuskia namkmbuka...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
wakuuu! Najua walevi wapo wengi tu humu, wenyewe ukiwakuta maeneo yao ya kujidai vitu vyao wanaviita vyuma au vyombo sasa hebu tusaidia kutaja aina yako mvinyo ambayo for your taste wewe umeiona...
0 Reactions
4 Replies
496 Views
Wakuu Sana. Nimekua mfuatiliaji mzuri wa mabandiko ya wazee wangu "naamini wazee kwa Busara zao" 1. Mag3 2.Nguruvi3 3.TUJITEGEE Sasa gafla naona wamesimama kubandika mabandiko yao pale UWANJA...
0 Reactions
6 Replies
683 Views
Wakuu Naombeni ushauri, toka wiki hii imeanza napokea simu za kuombwa ela tu. Sio ndugu, rafiki, mpaka mpenzi wangu Yani mpaka kufika Leo Ijumaa nimeshapigiwa simu zaidi ya 10 kutoka Kwa watu...
1 Reactions
9 Replies
756 Views
KUHUSU AFYA YANGU Deogratius Kisandu. 1. Mimi sina UKIMWI hata chembe, na wala sijawahi kuwa na VVU, utajibeba wewe usiye jali afya yako. Utakufa na UKIMWI mwenyewe, utashangaa Deo anadunda tu...
0 Reactions
75 Replies
6K Views
Bar
0 Reactions
1 Replies
511 Views
kama nilivyoeleza hapo juu natafuta marafiki hasa wasichana kwa wenyeji wa Dodoma cause nipo so stressed so nahitaji wa kunipa company hasa wakati huu ambao nahisi kama dunia inanielemea ila asiwe...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
jaman mwenye hili tangazo la Anko kidevu naliomba liwe mp3 au mfumo mwingine aliweke humu au PM. … babaa, mbona we huninunulii soda kama anko kidevu?…
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Habari zenu, Katika tendo la ndoa, anayetumia nguvu kubwa ni mwanamume na ndiye muhanga mkuu wa kudhoofika kiafya, ikatokea unaona mwili unazidi kukosa afya , ukafikia hatua ya kumwambia mkewe...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za mwisho wa juma, Salamu hizi zikufikie ndugu Behaviourist popote ulipo..... Baada ya salamu hebu nieleze kinaga ubaga..... kulikoni wewe na Kasinde ambaye ni Kasie.. . Maana huishi...
11 Reactions
363 Replies
15K Views
Ni wazima wa afya!, Hivi ikitokea bingwa wa ligi kuu akachukua tena kombe la FA, Je kombe la ngao ya hisani atacheza nani na nani? By Dimaa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ilikuwa mida ya saa 8 mchana nikiwa nimechili geto najalibu kuperuzi simu yangu uku nikichat. Geto chumba kidogo sana mwa mwezi nalipa buku teni, kuna joto sana mchana. Ugumu Wa maisha...
0 Reactions
2 Replies
505 Views
Kuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
16 Reactions
354 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…