Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikivutiwa sana na huyu binti lara1,nimetokea kumpenda sanaa na natamani awe mke wangu kwa sababu hajaolewa nimempenda sana lara1 natangaza nia ya kumchumbia binti lara1
Kwenye kikao cha wazazi na waalimu upareni mwalimu mkuu akatoa mfano "samaki 1 akioza ni wote". Wapare wakaja juu kweli wakamjibu yule ticha, " nguro iii utukondia bajeti yetu ya mapere kangi...
Leo imebidi niliweke wazi! Katavi nakupongeza sana katika kufuatilia post zako na majibu yako kwa post zingine nimegundua wewe ni mtu mwema sana!
Avater yako inanipa furaha kila wakati, mke...
Ndugu Zangu.
Nina watakia kila la kheri katika the great migration to Moshi/Rombo katika kipindi hiki.
Ushauri ninaowapa mjaribu kutafuta Madereva wakuwasaidia katika safari hizi ndefu...
Dakika 10 Kabla ya Harusi yako ,. Unapigiwa Simu Kuna Dili la Milioni 800 Alafu ni la uhakika lilikuwa linasuasua lakini sasa limekuwa tayali na ni lazima usaini sikuhiyohiyo uichukue.. Utaenda...
Wiki iliyopita m2 m1 alinisumbua sana kwa sms wakati simfahamu, kila nikipiga nikimuuliza maswali haelewi. akaendelea ku2ma wee ilipofika saa 4:30 akatuma msg " sorry nimekosea namba". Nikaisoma...
Mama mmoja alibakwa na jamaa fulani akachukua hatua ya kumfungulia mashtaka gerezani huyo jamaa,kesi ikaanza kama ifuatavyo;
Hakimu:mama naomba uileze mahakama kinagaubaga malalamiko yako...
Youngest Son: "Tell me Daddy, what is the difference between "potentiality" and "reality"?..
Dad: "I will show you"..
Dad turns to his wife and asks her: "Would you sleep with Robert Redford for...
Habarini mabestito
Nimepokea taarifa ya mshtuko wa ghafla wa msiba ambao sijautegemea
muda si mrefu, nimeshindwa kustahimili wapendwa wangu naitaji maombi yenu.
Mwenzenu Nimeondokewa na...
Hakuna m2 mwenye ndugu wengi kama konda. Utasikia, "HAYA, DADA HAPO MBELE, MJOMBA KULE MWISHO. MA-MDOGO UNAENDA?, NGOJA ASHUKE BIBI. HAYA SHEMEJI UMEIKUTA YA KUWAH. Babu njoo ukae! baba angu hapo...
Jamaa mmoja alikuwa akiishi na mdogo wake na mama yake, pia wakawa na kambwa ambako jamaa alikapenda mno.
Siku moja akapata safari ya wiki moja, siku aliporudi tu kabla hajaingia ndani, mdogo...