JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari zenu All member wa CC Nimime wote Nilikua adim kutokana na majukumu ya kikazi Miss U sana Arabera&Love U
1 Reactions
51 Replies
3K Views
Mkunduyangu, mkumaalim, mhishimiwa kwelikweli KP, hana raha wala furaha tena, ukiona mtu mkuuubwa mwenye midorali ya kufwa ntu anafikia kuandika ujumbe wa kusema 'asavali nifwe' ujue kazi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Zamani maisha yalikuwa rahisi na raha mno, unatumia kwanza malipo baadae, simu, umeme, majina posta ada za shule nk ni mifano halisi Imeingia digital imeharibu kila kitu, Siku hz ni mwendo wa...
0 Reactions
1 Replies
837 Views
1.Kopa mkopo bank 2.Nunua gari bovu la biashara. 3.Oa mwanamke mwenye kelele. Ukifanya hayo yote kwa pamoja nakuhakikishia ndani ya miezi kadhaa kitambi kitakuwa historia.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ebana,,,tofauti nnaizozijua mimi kati y mwanamke na mwanaume ni 1)sehemu zetu za siri (nafikir ushaelewa) 2)matiti yetu ni tofauti( " " ) 3)wanawake wanauwezo wa kusikia sauti ya...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Usikae na kitu rohoni kimwage Hapa upate nafuu Leo tumeianza wikend , tumekuwa na wiki yenye mambo mengi yakufurahisha na kuhuzunisha, ya kukarahisha na kutia simanzi, yenye kutoa changamoto na...
0 Reactions
2 Replies
926 Views
Kwamba kissme, kicme, na kisim! Ni maneno mawili yenye maana tofauti kabisa?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
ndugu mwenyekiti wa jukwaa hili ndugu Arushaone naomba kupitia kwako na wajumbe wote kutamka kwamba nampenda sana sana madam farkhina mpaka nakosa raha katika maisha yangu haya ya taabu. dear...
7 Reactions
121 Replies
7K Views
Arusha bwana tunagawana majukm" Wiz" ungalmtd "umbea" ngarenaro mauaji "njiro ""matukio" sokon one" anasa makao mapya gongo "matejo " siasa "sombetini" vibaka "mianzi" ,ushamba ,"ngulelo"...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I think it will sound better when one say Mr & Ms Chitchat, rather than Miss Chit-chat alone. Kama wataka kuwa Mr. Chit-Chat, hii thread ni yako kujitambulisha. Changamka!!
2 Reactions
61 Replies
6K Views
Leo joto noma hadi ukitoa noti ya 1000 mfukon unamkuta nyierere kavua shati kabakiwa na VEST
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani mwaka huu sito usahahu kwani nahisi kuchanganyikiwa sana sababu matatizo niliopata nahisi kuelemewa kwanza nilipata bahati ya kujiunga na Chuo kikuu lakini sikupata mkopo hata kidogo Ada...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamani kuna baadhi ya majina ya vitu na watu hayatamkwi kwenye baadhi ya mikoa nilipata aibu Mtwara mfano; 1. Mkoa: Mtwara, Majina ambayo ni matusi lakini Dar si matusi; Niliuliza embe ng'ongo...
0 Reactions
46 Replies
13K Views
Mwalimu: Tunga sentensi kutumia neno TUMAINI Mwanafunzi; tumaini twa kuku ni tutamu kuliko twa mbuzi.......
3 Reactions
15 Replies
6K Views
Mi naomba kuuliza swali jamani,kazi ya chupi haswa ni nin?
0 Reactions
100 Replies
24K Views
jaman kuna mzingra mengne yanahatar sana,tena ndan ya nchi hi hi.Kuna kijiji network za mtandao yote ya cm inapatkana sehemu moja 2 ktk kjj kzma,tena n nyumban kwa mwenye. ukienda hapo kupata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanafunzi mmoja aliambiwa na mwalimu wake wa kiswahili, atunge sentensi yenye neno sukari. Mwalimu : Mussa , tunga sentensi yenye neno sukari. Mwanafunzi : Jana nilikunywa chai na vitumbua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilikuwa mwenyefuraha sana, nikienda shuleni raha, nikirudi nyumbani full michezo na wenzangu, life was stress free and awesome, sasa hivi karibu kila kitu ni kinyume...sijui wewe unakumbuka nini...
0 Reactions
2 Replies
967 Views
A stressed man was in his office thinking deeply.Suddenly one man ran inside shouting "Peter, Peter your daughter Tonia just had an accident and died"! Shocked and confused,He jumped out of his...
2 Reactions
0 Replies
750 Views
Ignore this one
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…