I can say today was a dark day for me, thank God imepita
Kama sio dis song nahisi ningefanya maamuzi ambayo ningejutia sana
Always remember wenever u face an an impossible situation...
1. Mandawa na manenge
2. Mzee tola
3. Mfalme mwenye masikio kama ya punda
4. Sizitaki mbichi hizi..
5. Safari yenye mkosi.
6. Siku ya gulio Katerero.
Daah! Lakin hii haichekeshi wadau. Hebu...
Taji kwa sasa liko Mwanza kwa charminglady, ila mchakato mpya unaaza mwezi huu mpaka mwisho wa mwezi November atakapopatikana mshindi mpya. Jiandikishe sasa!
Pia wanatafutwa wafadhili wa...
Nimatumainini yangu kuwa hamjambo wana JF wa Joke section!!
Kweli kutokana na matukio ya huyu jamaa yetu, hasa faida na hasara zake hadi leo hii natamani ndg huyu apewe sub(achezee gereza kidogo)...
Jamaa walikubaliana washindane kusema uongo ambao utafanana na ukweli, mshindi apewe zawadi...
Mmmarekani: Kwetu sisi kule New York kuna majumba mareeefu
yanafika mbinguni...
Katika uchunguzi wangu wa miezi kadhaa ka kufuatilia discussions hapa JF nimegundua kuwa kunawanaume walioweka avatar za wanawake?
SWALI: JE HAWA JAMAA WANA TABIA ZA KIKE PIA
MICHANGO: NAOMBA...
Mwalimu mmoja wa shule ya vichaa aliandaa practical kwa ajili ya wanafunzi wake(vichaa). Practical yenyewe ilimtaka kila kichaa aigize tendo lolote ambalo huwa anafanya kuku katika maisha ya kila...
Nikiwa kazini,kuna mchanganya zege mmoja aliletewa picha yake ili ailipie then aichukue.Yule jamaa aliitazama picha kwa umakini mkubwa kisha akairudisha kwa photographer huku akisema kwa...
Asante godoro leo ni usiku mwingine
Nakuja kitandani nina usingizi mwingine
Wengine wamelala wanaota ndoto zingine
Mimi bado macho kodo kama popo wengine
Nalala sana ila ndoto wanaota wengine...
Kwanza kabisa shoot out kwa wote watakaoenda kula bata fiesta, mi na watakia kuenjoy kwema.
Ila kwa upande wangu nitakua baadhi ya wale ambao watabaki majumbani kwao wakiomba basi tukio lirushwe...