Mfugaji mmoja alikwenda kwa mfugaji mwenzake (ambae pia ni bwana mifugo wa eneo lao) asubuhi moja. Alipobisha hodi mtoto wa kiume wa umri upatao miaka 12 akamfungulia mlango. Mazungumzo yafuatayo...
Ni game ya kiushkaji matusi no matani zaidi... natoa sentesi ya matani neno la mwisho unaanza nalo wewe kisha utakalo maliza ataanza nalo mwenzako...wa mwisho ndo mshindi... oke lets go-->
sura...
Jamani nampenda King'asti, King'asti kama kweli unampenda Paw mwambie anipe ban ya mwaka nihakikishe kwa macho yangu Paw kama upo tayari kutumia cheo chako cha mod kuniban basi poa tu nipe ban...
Kitu John alishangaa sana alipoona dada yake anakojoa akiwa kachuchumaa, si unajua yeye alizoea kuchuchumaa wakati wa haja kubwaaa! Faster kamfuata mama yake aliyekuwa sebuleni na wageni na kumpa...
Jamaa fulani alikuwa na
tabia ya kujamba kwa
nguvu kila aamkapo
asubuhi. Mkewe alikerwa
sana na tabia hiyo,
alimkataza akachoka, siku
moja akamwonya kuwa iko
siku badala ya ushuzi,
utumbo...
AMAA alienda KUPOSA kwa SHEHE"
SHEHE.Yani Umekuja kuposa huku una tafuna big G!
Jamaa.Natoa harufu ya sigara 2.
SHEE.Unavuta sigara?
Jamaa. Huwaga baada ya kulewa.
SHEE. Kumbe unalewa...
Kuna mama mmoja alimsihi binti yake asidanganyike na mafataki lakini badala ya kusema straight yeye akamwambia binti yake asikubali mwanaume yeyote kulala juu yake akifanya hivyo ataharibikiwa...
jamaa alikua amekaa siti ya mwisho dirishani huku amefungua kioo kutipisha upepo. gari liko kwenye foleni na ilikua inatembea taratibu sana. kwa kua mda wa kazi ulikua unakatika akaona ni bora...
Wakuu nataka kum-surprise mpenzi kwa kumnunulia a new sexy pant tatizo sijui jinsi ya kudetermine size yake anayovaa na nikimuuliza itaharibu maana halisi ya surprise. Ila anaendana kidogo na bi...
Kuna nyumba ya mlevi mmoja nje kuna shimo kubwa la maji bila mfuniko.
Siku moja karudi usiku kalewa tooooop, mambo yakawa hivi:
MUME: Fungua mlango!
MKE: Leo sifungui! Nimechoshwa na ulevi wako...
Rugaimukamu: Hivi Rweyongeza, kare katoto kako Gozbert kako wapi siku
hizi? maana nakumbuka karikuwa dull darasani mwenzake Albert ni daktari
bingwa sasa!
Muchunguzi: Ee Albert kumbe ni mtaaram...
JF imejaa post nyingine za kuhuzunisha, kukasirisha, kufurahisha, bac kabla hujaendelea furahisha macho kidogo.
Msemo kucheka huongeza maisha bila shaka umeusikia
Hizi ni baadhi ya very short 3D...