Ndugu mteja umeunganishwa kwenye kifurushi cha SUPER CHAI. sasa una maandazi 100,sambusa 15,kalimati 10,mayai 20,chai vikombe 15,supu ya ng'ombe pamoja na MB 50 za sukari,ndimu,pilipili,chumvi...
Tumeenda kusalimia kijijini Njelenje (Mbeya vijijini) ukweni. Watoto wametumwa watushikie kuku. Wakaanza kumtoa baruti. Wakati huo huo mtu niliyeongozana naye kaomba kuingia washroom yupo...
Katika kijiji kimoja palikuwepo mganga mmoja mashuhuri sana. Alifahamika kwa namna ambavyo aliweza kuwatibu wagonjwa, kutabiri, na hata kutatua migogoro iliyojitokeza kijijini.
Siku moja walikuja...
wakaka na wadada wa jf najua mnapenda kupendwa wadada msikubali kuwa na wa2 mnaowapenda zaidi ya wao wanavyowapenda au mnasemaje jamwni navojua mimi kupendwa raha!:car:
JOB VACANCIES: Human Resource Officer, Financial Officer, Marketing Officer, Bank Opperators & accountants are highly wanted! starting salary $3000 per month..! SEND UR CV NOW to HR. m23@yahoo.com...
Masawe kanong'onezwa na dem wake
DEMU;naomba unipe elfu2
MASAWE:hilo ckio linauma cjakuckia vizuri,labda ninong'oneze la pili
DEMU:nimekwambia unipe elfu10
MASAWE:rudi ckio la kwanza hilo...
Very soon women will pay men to suck their breasts! BBC Homepage Top News Story - Doctors recommend that women reduce the risk of breast cancer, by having their breasts sucked and fondled on. It...
Mwalimu: wanafunzi, mkichukua minyoo ukaweka kwenye maji itafurahi na kurukaruka.......
na mkichukua minyoo hiyohiyo mkaweka kwenye pombe itaumia na kufa,..je mmejifunza nini...
Wapendwa wadau wa jukwaa hili, sina hakika kama hapa ni sehemu sahihi ya post yangu!
Naomba kuweka wazi, mimi ni Me, hii kitu inayoitwa shedo wanayojipakaa wadada inanipa shida.
Nawaomba wadada...
Au utajisikiaje
Pale ambapo upo na mama mkwe na mkeo ndani ya gari lako aina ya Vitz mara linapita Range Rover, mama mkwe anasema "mwanaume huyo kapita"
Ukiona mtoto unamtuma dukani halafu harudishi chenji ujue Ukubwani atakuwa mhudumu wa baa, Ni jambo jema mtie moyo.
Ukiona mtoto anapiga wenzake ujue huyo ni Fransis cheka wa badae, ni jambo...