true story
imetokea two weeks now, kuna Kabinti kalitoroka na lijamaa raia wa mtaani kakaenda gest mishale ya nne usiku, wenzie wakanokolea kwetu walimu, tulikuwa walimu wanne tukamsaka gest kama...
Habari zenu marafiki na wapendwa
SHINDANO LA KUMSAKA MTU MWENYE MVUTO
WA SURA MBAYA WA CC - 2013
Naomba msinikazie macho wala kunipa ban kwaajili ya shindano hili
sikutaka nilete shindano hili...
Jamaa yuko na demu wake wanapata vyao mara Gafla jamaa kapitiwa na kupumua(kujamba)
Demu: Bby pole umeumia..
Jamaa: Kidogo c sana..
Hayo ndo mapenz yenyewe
guyz..................
he/she whu tastes too much developes a peachant for tasting hence is never satsified by anybody.....namaanisha kuwa kutokuwa kwako na msimamo wa kuwa na msululu wa wenza...
sijui kamas hili ni jukwaa linalofaa kwa hili.
Natimiza miaka 44 leo, si umri mdogo hasa ukizingatia aina ya maisha ya sisi wa dunia ya tatu. Wakati nikiungana nanyi kujitakia siku njema, naomba...
Kijana mwenye umri wa miaka 24 akiwa ndani ya treni alitazama nje na kupiga kelele...
"Baba, tazama miti inarudi nyuma!" Baba alitabasamu.
Watu wawili waliokuwa wamekaa pembeni walimtazama...
Mara nyingi tumekutana na watu wanaume kwa wanawake waliojipamba kupitiliza utakuta kijana wa kiume kanyoa kiajabuajabu halafu kaweka rangi hizo nywele halafu katoboa masikio kavaa hereni shingoni...
Maongezi ya hawara na buzi lake yalikuwa hivi:-
BUZI: mpenzi wangu tangu nimekununulia nyumba na gari naona mapenzi yamepungua!
HAWARA: kwanini mpenzi?
BUZI: siku hizi huniambii asante kwa...
UTAMUELEWAJE JOHN
joni alimtembelea galfrend wake aliyemwalika msosi wa jioni. Ghafla jioni ile bado akiwa kwa girlfriend wake mvua ilinyesha kubwa sana na haikupungua kwa muda mrefu. Wazazi wa...
japo nimezaliwa na rangi ya mitume lakini nimejikuta natumia muda mwingi kutumia masabuni na mafuta flani ili nizidi kuwa mweupe..natakiwa nifanye nini ili niridhike na rangi yangu?