Funguo za gari , zinarushwa rushwa kidogo...
Funguo za gari huwekwa mezani...
Funguo za gari huning'inizwa kwenya suruali...
Kamwe funguo za gari haziwekwi..
Kwenye mifuko...
Kwenye pochi...
MCHUNGAJI: Mgeukie jirani yako na umwambie Mungu yumwema, WAUMINI wote wakageukianana kusema Munguyumwema, MCHUNGAJI: Leo nitawaombea wale wote wasio zaa, mgeukie wenzio na umwambie leo utapata...
Nakumbuka nyimbo za rap za kiswahili kama OPP, ICE Baby na nyingine nyingi za Saleh Jabir yuko wapi huyu siku hizi?
Nakumbuka enzi za Shaba Ranks na staili yake ya panki la hatari..........
Dah...
When i said tomorrow is your birthday and what shall i gift you, you told me that you i don't know but you want something with diamonds
so today i am giving you this pack of playing cards.
*Ukitaka watu wahakiki kama
umefika
DAR lazima upige picha daraja la
manzese
*ukitaka wahakiki kama umefika
mwanza lazima upige picha na
samaki mkubwa
*ukitaka wahakiki kama umefika
DODOMA
lazima...
Ukikohoa ukatema makohozi barabarani...ni uchochozi,
Ukijamba kwenye daladala...ni uchochezi,
Ukigongea fegi au sosi kwa jirani...ni uchochezi,
Binti kuvaa kimtegomtego...ni uchochezi...
Nikiwa nimeketi pembezoni mwa simu yangu na kumsikiliza mkurugenzi wa Ocean Road Cancer Clinic Prof Twaalib Ngoma mda mchache uliopita kupitia Times Fm nimeshtuka na kuogopa.
Ni kuhusu kufanya...
Mademu wa leo kama
upo KIBAHA ww upo TANDIKA,
Utäckia ona thatha mapenz gan yenyewe
haya c bora tuachane,
lakini kama upo U.S.A
utackia baby mm nakupenda ntavumilia mbaka urudi tuowane!
Sosi la kwenye wedding nimelimiss sana,yaani hawajaoana long time kitambo hapa mtaani,hata ndugu zangu nao hawajaoa ama kuolewa long time kitambo,hata kwa ndugu wa marafiki zangu nako kuko kimya...
Mkuna na mkunwaji ni yupi huona taamu
Kuna jambo nataraji, kujua hilo hakika...!
Taarabu za Tanga bwana zinanichill kweelikweli. Ila pia waweza changia katika ya wawili hao yupi huona raha...
"Thanks bro 4 ya charity,Katika wanaume wote hapa kitaa we ndo wa ukweli nakukubali sana sema tu kwa vile hujanielewa ningekua mdada ninge hakikisha hautoki mikononi mwangu". jamani nisaidieni...
Shurti uchague kikunio kizuri kikali na chenye rangi za mvuto
Angalia vipakatizi vile safi laini na vyenye kunukia
Kuna kwa nafac chagua eneo zuri lenye upepo mwanana na utulivu. Usiwe na papara...