JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1.Pa- kofi 2.tonyonyo, tonyonyonyo. - gari landcruiser 3.psi- sauti ya kujamba /njia ya upepo ni hafifu 4.krwa,krwa,krwa- kukoroma 5.Aah!- kushangaa kwa tukio lisilopendeza. QUIZ taja milio...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
txt
hellow frndz
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Niko njia panda mm nikijana ambae ninae ndugu wa kike (binam) baada ya kauli za mitego za mda mrefu ame amua kufunguka na kuweka wazi kuwa asinge penda kuona nina oa mke zaidi yake na kua yeye ame...
0 Reactions
1 Replies
865 Views
mpaka sasa nimepata jembe, fyekeo, sahani, kijiko, kikombe, fagio na godoro bado naendelea kutafuta tranka mana hayapatikani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mke: Kuna nini kwa jirani Mme: Kuna birthday Mke: Ya nan Mme; Nadhan ni ya TUYU...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana! Ni hivi huyu mwanamke kila ninachokitaka mimi yeye hakitaki na wala yeye hataki kuniambia anapendelea nini na anapendelea kufanywa nini? Nikimwambia basi kila mtu aangalie...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mhe. Dk Shukuru Kawambwa akifafanua jambo wakati akizindua wa utekelezaji wa mikakati ya "Matokeo makubwa Sasa" ambapo kwa kingereza unaitwa "Big Result now"...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
IMLA Mwalimu katoa test ya imla, masharti ni kwamba usifute fute na kubadili majibu baada ya kujaza. Swali la 1. Taja vyakula vitatu ambavyo ukienda hotelini umeshalipiwa utapenda...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
UMEIPATA hii, msukuma 'wa' MWANZA alienda DAR kwa kaka yake kumtembelea!! alipofika alimckia KAKA yake akimwita mkewake, "DARLNG" basi na yeye aliporudi MWANZA akawa anamwita mkewake...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Vichaa wawili walipanga mkakati wa kutoroka kutoka hospitali ya vichaa Mirembe. Mpango wao ulikuwa kwamba asubuhi ya siku inayofuata waende getini wamvamie mlinzi wampige wafungue geti watoroke...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako: 1.Umeshika simu yako ya mkononi. 2.Unasoma hii habari unatumia dole gumba. 3.Wewe ni binadamu hai kabisa. 4.Huna jeuri ya kusema neno...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
1. kikiem kikiem aaaah,kyama kya mapyindyuuzi kikiem jamba nyani. na kiyetwe jamba nyani na kizyombe jamba nyani.halafu inafuata miluzi mingi na makofi . 2. Chitaki kulya jamani, chitaki kulya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jana nilikuwa msibani wadau... huu msiba jamaa alikunywa sumu.... sasa kabla hawajamzika ndo waktangaza kama kuna anayemdai marehemu aje wamlipe. Kuna jamaa mmoja alijitokeza na kudai kuwa sumu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kulikuwana jamaa mmoja aliekuwa anadai pesa yake, siku moja alinishangaza sana, MDAIWA-nivumilie leo tu kesho mimi nitakukulipa deni langu lote, CHAKUSHANGAZA, Mdai ashakumu simatusi, unagongwa...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
wadau niko hapa nakunywa biere , keso laga kaibuni
0 Reactions
13 Replies
1K Views
I wanna dance with some body! Natafuta mrembo wa kwenda nae! :heh::heh: [/video]
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Lady doctor, kwa muda mrefu sana nimekuwa nafuatilia posts zako humu na kwenye MMU. Kwa kweli nimetokea kuvuiwa sana na wewe, unaonekana ni mwanamke unayepaswa kuwekwa ndani, una busara, unajua...
0 Reactions
181 Replies
12K Views
naomba msaada kufahamu hv 4.6l engine ulaji wake wa mafuta upoje litre moja inaenda kilometre ngapi? ASANTE
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Siku moja mtoto Alichukua Passport ya mama yake na Kuisoma Akaona Name : AMINA, Place : BUKOBA, Birth : 1979, Sex : F, MTOTO Akamwambia, "MAMA Hauko Serious, Kwenye Sex Una F, MSHUA atakutema...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi wapendwa mwenzenu hii simu inanichosha sasa. Nina iphone3g nashindwa kudawnload kwasababu sina apple id nimejaribu kufungua kwakutumia hii simu nashindwa kwasababu KWENYE billing hamna...
0 Reactions
2 Replies
863 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…