Salute Wakuu,
I have created this bbm group for members of Jf with bbm to chat, interact and have fun (clean chats). So pm your pin and I will add you instantly. Let's get started.
Habarini wanajamvi wenzangu
Nakutakia heri, afya njema, akli na hekima kama za mfalme sulemani, kuwa upeo mkubwa kwa
mambo uyafanyayo na lile ulilokusudia litimie katika ndoto zako na Mungu akupe...
Habarini bandugu marafiki zangu wa ukweli
Mnaendeleaje na shughuli zenu na mikakati ya maisha pamoja na majukumu tele
kwangu niko poa ingawaje niko hangover kwa watu ambao wanajifanya vichaa...
Mzee mmoja alimaliza kupiga ******* bafuni, katika harakati za kuanza kuoga akakanyaga zile mbegu akateleza akaanguka, akainuka akasema ******** ndio maana nimekuwahi ungezaliwa ungeniua ******...
Usiku mzuri ni kutakiana waungwana walio pamoja baada ya kumaliza siku nzima iliyojaa majukum,mizunguko,furaha na kero ambazo hukamilisha siku,nawatakia usiku mwema waungwana mungu akijalia...
wakuu vipi mambo,asee makamanda nashida flani hivi sijui huku ndo sahii kupost hili swala,naitaji sehemu ambayo wanaweza kufuta tatooz kwa dar es salaam,zina nikwanza sana na nilipiga kipindi cha...
Great thinkers(mmmhhh)hamjambo?
Huwa najiulza inakuwaje mm nnapo anzisha threads hazichangamkiwi km za hao wanaojidai vijogoo(sanasana huyo lara1,heaven on earth na wengne freemason) ss kwa...
Kufuli kubwa!.
Obviously hua sishangazwi , nikutanapo/nionapo Funguo ndogo inafungua Kufuli/Kitasa kubwa/kikubwa!
Nashangazwa kama si kubutwaika pale nikutanapo/nionapo Kufuli ndogo...
Naomba mnisaidie jinsi yakuludisha account yangu ya facebook (dactar wizzy) ambayo inashea email moja na namba yasiri moja No. yasimu moja .Hivyo yani ama nini
Naomba nikiri kwamba katika mbilinge zangu za
kuwania mabinti ujanani nilipata misukosuko
mingi sana kiasi kwamba kila nikikumbuka huwa
nacheka mwenyewe. Namuomba Mwenye Enzi
Mungu, wanangu...
Nivije Wazeiya wa Double C?
E bwana katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao ya kijamii nimekuwa nikikutana na ilo neno mara kwa mara,mtu ana post au update status mwisho anamalizia na...
Mmasai mmoja alikodi chumba Guest House, na mara tu alipoingia kwenye chumba alichokodi ili alale, akakuta kitanda kimeshachomekwa chandarua. Kesho yake asubuhi Mhudumu akaja na kuingia chumbani...