A professor drove into a petrol
station in his sleek state of the
art range rover sports; PROFESSOR: Guy abeg, give me
full tank.
FUEL ATTENDANT: Sir, i dont
speak pidgin, i only speak...
MKE; anamuuliza mumewe,hivi una wanawake wangapi huko nje?
MUME; kama nywele zangu..
MKE; akachukua nguo zake akaondoka, alipofika njiani akakumbuka kuwa mumewe ana kipara, akaanza kurudi mbio...
Watu hawa always huwa wananifanya nifungue JF hata kama sicomment wala kupost kitu chochote;
snowhite - You are my partner you know
Kongosho - Kitu ya muzungu you always make me laugh
Lizzy -...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!
Baada ya mihangaiko ya hapa na pale ambayo ilinifanya nikose kidogo mda wa kutembelea jamvi, hatimaye nimerudi tena nchi yangu nnayoipenda, ila kweli...
Padre mmoja alikuwa kila siku jioni akitoka kanisani anapita chini ya mti wa mpera na anaangalia juu kisha na kumshukuru Mungu kwa siku husika ilivyoenda.
siku moja kama kawaida yake akafika...
Jama kaenda kupiga interview kufika alikuta mtu yuko kwenye interview basi jamaa akaamua kuingia kwa furaha ile kuingia tu mazungumzo yakawa hivi
Boss:wait please
Jamaa:75 killogram
Boss:chali...
Mwalimu "Watoto wazuri kesho kila mtoto aje na hadithi ya kusimulia,na atawaambia watoto wenziwe kuwa inawafundisha nini"
Siku ya pili, haya tuanze hadithi zetu,haya rose pale,
Rose " siku moja...
Kama kichwa cha miguu kinavyojieleza.
Sijawahi tinda nyusi, ila kutokana na evolution ninayopitia nataka nianze kutinda. Nasikia ukitinda kwa wembe jicho linakomaa na kutinda kwa uzi inauma kama...
Wakiwa saloon kinyozi akamwambia rafiki yake " kuna dogo mmoja ni mjinga mjinga sana,sijawahi ona dogo mjinga kama yeye, na muda si mrefu atakuja na ntakuthibitishia ujinga wake.
Dogo akaangia...
Jirani ninaishi na Mzee wa kihaya , (jina hifadhini).
Ni Mzee aliye attend shule vizuri.
Aidha baada kustaafu , tayari alikua ameshawekeza vitega uchumi vya majumba kadhaa.
Nyumba mbili...
Jamaa alipewa hela ya urithi milion 100. Akaenda porini akachimba shimo chini ya mti akazifukia zile hela kisha akatoa camera akapiga picha ule mti ili kuweka kumbukumbu.
Alipofika home akatoa...
Mwl katunga mtihani, wakati wa kusahisha kajisahau akaacha making scheme katikati ya karatasi za wanafunzi. Baadaye kaamua kutunga nyingine, baada ya kuendelea kusahisha, kasahisha mpaka ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.