Hellow people za humu jamvini kiukwel nilifichwa kidogo sasa nipo tele mejaa ka pishi la mchele..... Hapa sahiv mpaka mnifukuze wenyewe. My sista Madame B,Charming lady,my dad watu 8,my shem Eric...
Mwenyezi mungu anatuchukua tukiwa wadogo sana Yatupasa kumrudia yeye aliyetuumba Nimefiwa na Rafiki yangu wa karibu sana Suleiman Ernest namwombea kwa mungu apumzike kwa amani yeye mbele sisi...
habari zenu wanajamvi na amani iwe nanyi wakina gudgement,heaven on desert,earth,beauty by nature,bishanga na member wote wa chit chat bila kujali jinsia wa kabila tafadhali naomben ushauri...
Kulikua na mazishi, mwanamke mmoja alifariki.
wakati wabeba jeneza wakilitoa nje jeneza kutokea ndani, kwa bahati mbaya waliligonga jeneza na ukuta,
wakasikia sauti kutoka ndani ya jeneza...
Jamaa mmoja alipelekwa Mahakamani na ndugu zake kwa ajili ya "KULA KIAPO". Sasa muda wa "KULA KIAPO" ukawa unakaribia na yule akawa haonekani na ndugu zake wakaanza kumtafuta, na baadae kidogo...
Kuna binti moja alipata mimba,baba yake akamwambia si nilikuambia mvulana akikushika mapaja useme ndo'nt na akikushika matiti useme stop binti akasema alinishika vyote kwa pamoja nikamwambia ndont...
Walevi watatu waliita taxi, Dereva taxi alipowaona wamelewa chakari akawasha gari na halafu akazima, walevi wawili wakampa hela na kumshukuru.
Yule wa tatu akamnasa kibao dereva, Dereva akashangaa...
A man returns home a day early from a business trip. It's after midnight.
While en-route home he asks the cabby if he would be a witness.
The man suspects his wife is having an affair...
A teacher asks her class, "If there are five birds sitting on a fence and you shoot one of them, how many will be left?" She calls on little Johnny.
"None, they all fly away with the first...
Nianze na salamu kwa wale wapenda salamu na AMANI....
Ila NIWAtakie shari kwa wale wote wasiopenda amani katika kijiji chetu.Nirudi kwenye KALIPIO LANGU LA WAZI KWA BABA V Kwa utaratibu wake...
Habari za kwenu ndugu jamaa na marafiki
Weekend hii nina mpango wa kusikiliza nyimbo za Kwaito zilizowahi kutamba sana na zinazoendelea kutamba wakati naendelea na shughuli nyingine za nyumbani...
Husika na kichwa cha habari..!
Kuanzia leo Erickb52 nitakuwa mwenyekiti wa mahusiano cheo ambacho nimekichukua kutoka kwa Mwenyekiti wa awali Baba V .Nimeamua kukichukua kwa kuwa mimi ndiye...
mwalimu wa somo la dini aliingia darasani nakuanza kuwauliza wanafunzi maswali
mwalimu: mmoja aniambie ni nani aliemuua firauni?
mw'nz 1: mwalimu mimi sie
mw'nz 2: mwalimu mimi panya nashindwa...
Hello everyone now I am going to share you the world best funny jokes site. In this site you can refresh yourself by reading short funny jokes. So if you want you can refresh yourself by click here.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.