JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
A professor drove into a petrol station in his sleek state of the art range rover sports; PROFESSOR: Guy abeg, give me full tank. FUEL ATTENDANT: Sir, i don’t speak pidgin, i only speak...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MKE; anamuuliza mumewe,hivi una wanawake wangapi huko nje? MUME; kama nywele zangu.. MKE; akachukua nguo zake akaondoka, alipofika njiani akakumbuka kuwa mumewe ana kipara, akaanza kurudi mbio...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
"System ya kulipia kodi ya line ya simu sh.1000/=,ikianza tu!! Nitakuwa napatikana hapa: S.L.P. 007.Arusha,TANZANIA."
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1.mzizi mkavu 2.baba v 3.lara1 4.madamme x 5.kongosho 6.appoh 7figganigga 8.watu8 9.smile 10.heaven on earth
3 Reactions
160 Replies
10K Views
HaNIimISSyu! yAAniMimiAIrav yuuARAfumPEnzijAna3eti Maza ¤£akANIChimBa%mKWara. SAizi€ukOTU naRImkERako Hani*mIMIsiNAmaFUtaYakUjiPaKA. ReOMamAakiNDakaziNi.tuFAnyA? ooh!mIMI.Ai...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
rck and nck codes for alcatel onetoucj modem X230E-2LATTE3 with imei 867612005433085
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Haiwahuu..... The secretary sina uwezo wa kuendesha wife,njoo The Element Masaki unchukie dadadadadeki
0 Reactions
21 Replies
2K Views
hii ni kwa taarifa yako tu,asili ya jamii forums ni jamaa wanafurahi hao,kama ndivyo chuki ya nini,tupeane tu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Watu hawa always huwa wananifanya nifungue JF hata kama sicomment wala kupost kitu chochote; snowhite - You are my partner you know Kongosho - Kitu ya muzungu you always make me laugh Lizzy -...
8 Reactions
51 Replies
3K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!! Baada ya mihangaiko ya hapa na pale ambayo ilinifanya nikose kidogo mda wa kutembelea jamvi, hatimaye nimerudi tena nchi yangu nnayoipenda, ila kweli...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Padre mmoja alikuwa kila siku jioni akitoka kanisani anapita chini ya mti wa mpera na anaangalia juu kisha na kumshukuru Mungu kwa siku husika ilivyoenda. siku moja kama kawaida yake akafika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jama kaenda kupiga interview kufika alikuta mtu yuko kwenye interview basi jamaa akaamua kuingia kwa furaha ile kuingia tu mazungumzo yakawa hivi Boss:wait please Jamaa:75 killogram Boss:chali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
sorry kwa waliokwazika kwa thread hii
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Mwalimu "Watoto wazuri kesho kila mtoto aje na hadithi ya kusimulia,na atawaambia watoto wenziwe kuwa inawafundisha nini" Siku ya pili, haya tuanze hadithi zetu,haya rose pale, Rose " siku moja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kichwa cha miguu kinavyojieleza. Sijawahi tinda nyusi, ila kutokana na evolution ninayopitia nataka nianze kutinda. Nasikia ukitinda kwa wembe jicho linakomaa na kutinda kwa uzi inauma kama...
8 Reactions
67 Replies
16K Views
Wakiwa saloon kinyozi akamwambia rafiki yake " kuna dogo mmoja ni mjinga mjinga sana,sijawahi ona dogo mjinga kama yeye, na muda si mrefu atakuja na ntakuthibitishia ujinga wake. Dogo akaangia...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Jirani ninaishi na Mzee wa kihaya , (jina hifadhini). Ni Mzee aliye attend shule vizuri. Aidha baada kustaafu , tayari alikua ameshawekeza vitega uchumi vya majumba kadhaa. Nyumba mbili...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Jamaa alipewa hela ya urithi milion 100. Akaenda porini akachimba shimo chini ya mti akazifukia zile hela kisha akatoa camera akapiga picha ule mti ili kuweka kumbukumbu. Alipofika home akatoa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwl katunga mtihani, wakati wa kusahisha kajisahau akaacha making scheme katikati ya karatasi za wanafunzi. Baadaye kaamua kutunga nyingine, baada ya kuendelea kusahisha, kasahisha mpaka ile...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Kweli DAR kubwa.LADY JAY DEE na UMARUFU wake w0te hapa MJINI lakin hajui YAHAYA anaishi wapi.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…