JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hellow people za humu jamvini kiukwel nilifichwa kidogo sasa nipo tele mejaa ka pishi la mchele..... Hapa sahiv mpaka mnifukuze wenyewe. My sista Madame B,Charming lady,my dad watu 8,my shem Eric...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Vutapicha Umeingia Room Na Dem Af Kakuvalia Hii T-shirt!! Af Umegharamia Mpaka Kerooo
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenyezi mungu anatuchukua tukiwa wadogo sana Yatupasa kumrudia yeye aliyetuumba Nimefiwa na Rafiki yangu wa karibu sana Suleiman Ernest namwombea kwa mungu apumzike kwa amani yeye mbele sisi...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
habari zenu wanajamvi na amani iwe nanyi wakina gudgement,heaven on desert,earth,beauty by nature,bishanga na member wote wa chit chat bila kujali jinsia wa kabila tafadhali naomben ushauri...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Kama mtoto mdogo ni mchanga bac m2 mzima ni cement. Na kwa umri alokuwa amefikia bibi nanii aliokuwa amefikia hakika alikua zege ;-SHH. Nyc Sunday!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kulikua na mazishi, mwanamke mmoja alifariki. wakati wabeba jeneza wakilitoa nje jeneza kutokea ndani, kwa bahati mbaya waliligonga jeneza na ukuta, wakasikia sauti kutoka ndani ya jeneza...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alipelekwa Mahakamani na ndugu zake kwa ajili ya "KULA KIAPO". Sasa muda wa "KULA KIAPO" ukawa unakaribia na yule akawa haonekani na ndugu zake wakaanza kumtafuta, na baadae kidogo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna binti moja alipata mimba,baba yake akamwambia si nilikuambia mvulana akikushika mapaja useme ndo'nt na akikushika matiti useme stop binti akasema alinishika vyote kwa pamoja nikamwambia ndont...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
If SATAN was to live in AFRICA, in which COUNTRY will he be_________?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Walevi watatu waliita taxi, Dereva taxi alipowaona wamelewa chakari akawasha gari na halafu akazima, walevi wawili wakampa hela na kumshukuru. Yule wa tatu akamnasa kibao dereva, Dereva akashangaa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
A man returns home a day early from a business trip. It's after midnight. While en-route home he asks the cabby if he would be a witness. The man suspects his wife is having an affair...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A teacher asks her class, "If there are five birds sitting on a fence and you shoot one of them, how many will be left?" She calls on little Johnny. "None, they all fly away with the first...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za asubuhi, Sauti inakwama haitok vizuri,nikimeza mate naumia mpaka nahisi machozi yananitoka..kichwa kizito kinauma,mafua ndo usimeme..kifua kinauma yani kukatia kifuani kupanda juu...
5 Reactions
118 Replies
6K Views
Nianze na salamu kwa wale wapenda salamu na AMANI.... Ila NIWAtakie shari kwa wale wote wasiopenda amani katika kijiji chetu.Nirudi kwenye KALIPIO LANGU LA WAZI KWA BABA V Kwa utaratibu wake...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
MWALIMU- "kwa nini tunasema MAPENZI ni bora kuliko VITA?" MWANAFUNZI- "Kwa sababu CONDOM ni bei rahisi kuliko BUNDUKI!!"
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za kwenu ndugu jamaa na marafiki Weekend hii nina mpango wa kusikiliza nyimbo za Kwaito zilizowahi kutamba sana na zinazoendelea kutamba wakati naendelea na shughuli nyingine za nyumbani...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Husika na kichwa cha habari..! Kuanzia leo Erickb52 nitakuwa mwenyekiti wa mahusiano cheo ambacho nimekichukua kutoka kwa Mwenyekiti wa awali Baba V .Nimeamua kukichukua kwa kuwa mimi ndiye...
17 Reactions
212 Replies
11K Views
mwalimu wa somo la dini aliingia darasani nakuanza kuwauliza wanafunzi maswali mwalimu: mmoja aniambie ni nani aliemuua firauni? mw'nz 1: mwalimu mimi sie mw'nz 2: mwalimu mimi panya nashindwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello everyone now I am going to share you the world best funny jokes site. In this site you can refresh yourself by reading short funny jokes. So if you want you can refresh yourself by click here.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…