Sijui twa elekea wapi nimeshuhudia kwa macho yangu viongozi wa vyama tofauti wakilushiana maneno machafu badala ya kupatana ili kuunganisha wafuasi wao kuheshimiana na kusaidiana jamani kheee! Kabda.
Mtoto mmoja alikuwa akiokota embe kwenye shamba la miembe la Mzee-Kijana. Mara yule Mzee-Kijana naye ghafla akaja kuliangalia shamba lake na kumkuta yule Mtoto akiokota embe kwenye shamba lake...
mtoto mmoja alikua anasoma shule tunazoziita international school,baada muhula kwisha mtoto alipewa ripoti y a kitaaluma awapelekee wazaz,kwa bahati nzur mzaz aliekuwepo nyumban alikua baba...
"Baba! baba! baba!" mtoto anaita kwa nguvu kutoka bustanini.
" Gari letu limeibiwa!"
" ulifanikiwa kumwona aliyeiba?"
" Hapana,ila nilifanikiwa kuandika namba ya gari".
Tulikaa na wana wa harakati wenza , tukichambua haya na yale ktk mustqbali wa nchi yetu mambo yaendavyo.
Ghafla tukajikuta tunajadili baadhi ya kauli , za viongozi wetu wa kitaifa , kimajimbo...
Mimi naipenda
:biggrin1:
inaposemwa kwenye mazingira ambayo mtu amechangia kitu mbacho hakifai au kinachekesha so anamalizia kwa kucheka!
Mfano mtu anaomba ushauri kule MMU
-ndugu yake wa...
..............
...........Haitimae Mamndenyi ajibu mapigo kwa kunitupia kwanza picha yake ili iwe pambo na pale napo mkosa tu iwe kumbu kumbu tosha kwangu.
Angalia mwenyew hapo alikuwa katoka...
Mfungwa mmoja alitoroka jela baada ya kutumikia kifungo chake kwa miaka Ishirini na akiwa amevaa uniform,uso ulikuwa unatisha na alikuwa na ndevu nyingi.
Baada ya kutembea kwa muda akakiona...
A young woman was jogging when she saw a wrinkled old man smiling at her from his stoep.
" You look so happy," she called out to him.
" What's your secret for a long and satisfying life?"
"I...
waungwana swalamaa...kwakweli dunia inaenda pabaya sana,huwezi kuamini nimepita mitaa ya ilala sharifu shamba,eti kuna chama kilicho sajiliwa kabisa wanajiita SISI kwa sisi,HAWAJAMA nima shoga i...
........... People will believe anything when you say Scientists have discovered that.
Wanasayansi wamegundua kwamba watu wanaamini kitu chochote iwapo utaanza kwa kusema wanasayansi wamegundua.
Habarini wana jamvi nilikua safarini Comoro namshukuru mungu nmesafiri salama na nimeweza kurejea salama namshukuru mungu na wana jamvi wote kwa dua zenu nw nko Mafia ntarejea Dar kesho mungu...
Mambo vp chitchat User?
leo napenda tujuzane kidogo kwanini sis binadamu tukifa huvishwa nguo maalu ijulikanayo kama SANDA?
je kuna ulazima mtu kuzikiwa hyo ama vp kifupi mwenye historia ya...