JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Pata pesa mkeo ajue tabia yako na filisika ujue tabia ya mkeo!
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Karibuni hapa kwenye ukurasa wetu wa wapenzi wa hii kitu kwa updates za kila siku za makulaji haya hapa mjini Darisalama na kwingineko...
0 Reactions
41 Replies
10K Views
Amani kwenu wanajamvi, natumai mu wazima na mnasonga vyema kwa uwezo wake Labana. Ni asubuhi tulivu siku ya jumamosi ya tarehe 06/07/2013 watu tumenyuka vyuti (ndio uwingi wa suti) vyetu na tai...
12 Reactions
236 Replies
12K Views
are the most handsome men in Africa!...i mean in the whole wide world!!!!!mweh! embu cheki
0 Reactions
67 Replies
10K Views
Daah...!!!! ungefanyaje....???? Mfano wewe ni dereva tax umepewa namba ya simu kumfuata mteja na wewe ukaenda kwa kuwa ndo kazi yako. Ile unafika unakuta mteja ni jamaa yuko na mkeo wakiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jaman msaada wana CC nataka mniambie huu nilio nao ni ugonjwa au ni hali ya kawaida,mimi mwenzenu nikiiona tu chupi ya msichana iwe imeanikwa au kavaa imechungulia aidha iwe barabarani,mtaani...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu wana jf binafsi nimeliona hili na nikaona hebu tujaribu kushare mawazo yetu. kuna jambo linashangaza ktk vituo vyetu vya tv hapa nchini, most of them matangazo yao wanayatoa kwa lugha ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hiko kipigo cha 4 bila huruma mlichotupiga walahi isingekuwa mwezi mtukufu tusingekubali,kura tungewaibia na virungu tungewakung'uta.Bahati yenu sana nyie mbwiga.Gambas oyeeee
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huu ni zaidi ya wimbo wa kawaida, unazungumzia ufisadi na hatima ya Kenya ingawa kinachosemwa kinahusu pia hapa kwetu. Wazo la kufanya video na wananchi wote lilikuwa poa sana, na huyo model...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Jamani nimaamua nami kutangaza nia yangu ya kugombea uraisi!! Mimi sijawahi kuwa kiongozi hata wa nyumba kumi. Ushauri wenu ni kitu cha muhimu. Hata hivyo sijaoa,natafuta mke atakae kuwa first...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Salaam wanaCC kwa mara nyingine! Baada ya uongozi wa Baba V kupinduliwa rasmi chini ya mwanamapinduzi mahiri Nivea, kwa heshima na taadhima tunamwomba Madame B wakishirikiana na Mrembo by Nature...
5 Reactions
56 Replies
3K Views
0 Reactions
3 Replies
760 Views
Once upon a time........ A Child went to a shop with his mother. The shop keeper looked at the small cute child and showed him a bottle with sweets and said 'Dear Child.. You can take the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mrembo alipokea simu ngeni na mambo yalikuwa kama hivi: Simu: Hellow una boy friend? Mrembo: Ndio ninaye. Kwani we nani? Simu: Mimi baba yako. Kumbe unaboy friend ukirudi utanitambua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya taarifa za kutekwa kwa mke wa UNDENIABLE, Heaven on earth ni dhahiri kuwa hali ya usalama wa wanachit chat hairidhishi na nadhani ni muda muafaka wa kuanzisha kikosi chetu cha...
8 Reactions
87 Replies
5K Views
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ha ha ha nimekuweza! Cheki ulivokodoa mimacho...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Hivi hawa wanaouza hizi karanga za kutembeza wakienda chooni kapu wanaliweka wapi?.....
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Nawasalimu wanaCC! Kwa niaba ya wanamapinduzi wote napenda kuwasilisha taarifa hii ya kikao kilichofanyika juzi na jana usiku na mchana! Kwa muda sasa wanacc mmekuwa mkishuhudia vurumai...
0 Reactions
2 Replies
971 Views
BOSS: Nasikia unatafuta kazi, kompyuta unajua? MJAMAA: Sana tu mzee BOSS: Unajua Microsoft Office? MJAMAA: Msema kweli mpenzi wa Mungu, siijui lakini mkinielekeza iko mtaa gani ntafika tu Mzee...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom