JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sina Cha Kuelezea, kwa maana ulinipigania mpaka mwisho Arushaone na sijui hata kwa nini tuliachana. Bishanga, upo? Miss uuu...!!!
10 Reactions
336 Replies
15K Views
nami nitakuwepo hapa kwa kuibia ibia muda kwa muda huu napenda nisiishi kama orphans i should to have mama na baba watakao nilea vyema hapa chit-chat pia aunt na uncle watakao kuwa wananipeleka...
7 Reactions
327 Replies
17K Views
Dah..!! Nishauza mazao na ninavibunda vya wekundu kwenye mfuko wa Jacket. Nakwenda dar kununua suit na 4angle za kutafunia bata nikirudi bara, pia natakaninunue radio na baisikeli huyooooo...
1 Reactions
106 Replies
7K Views
Kwa wale wateja wanaopata menyu mchana hapa Port View Pub kwenye mzunguko wa kuelekea Bandarini, mmeona wapo mabinti wameajiriwa kujifungua nguo? Wanaweka mapaja nje na kuwaangalia wateja...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Jamaa alikuwa anasafiri kwenda ulaya akamwambia dereva wake ampeleke JKI airport, akiwa njiani maeneo ya TAZARA akakumbuka kuna document ameisahau nyumbani akaamuru dereva ageuze gari. Alipofika...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mzee mmoja alikuwa anaumwa Maralia, ikabidi aende Hospital kupima. Alipofika, Nesi akamchoma sindano kwenye kidole cha kati, lakini akashaangaa kuona damu haitoki, ikabidi aanze kunyonya kidole...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mzee mmoja alipanda basi kuelekea kwao Moshi kutokea Dar. Wakati wamepita Kibaha binti fulani aliyekaa jirani naye akapokea simu akamjibu mpiga simu kuwa anaelekea Iringa kwenye msiba, kabla...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
hivi mnataka mpewe vidonge gani ndiyo mtambue kuwa mie nimekufa nakujiozea kwa Mamndenyi ?shukuran pekee kwa mweto Mwita Maranya kwa kuniachia kijiti nami nikisongeshe mbele, ifahamike kuwa mimi...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Hii nimeisoma kwa Masanja Mkandamizaji..... nikacheeka sana Mapenzi ya mtandaoni: mnaanza uhusiano, mnakosana, mnapatana, mnakosana, mnaachana na hata hamjawahi KUONANA! Ngoja ukute ni ZOMBI!
2 Reactions
10 Replies
1K Views
OYAAAAAA TUMBO LINANIUMA NAENDA CHOONI,NIKIRUDI NITAWAPOSTIA.:kev:
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimepata mchumba msichana wangu kabila lake ni mmeru wa arusha natarajia kumuoa mwakani wakati kama huu ila cjui asili yao na tabia zao za asili naomba mwenye uelewa anijuze tafadhali
0 Reactions
4 Replies
3K Views
WATOTO WA KISHUA SECONDARY SCHOOL S.L.P 7677, MASAKI. MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA. MAELEKEZO. i. Jibu maswali yote. ii. Kila swali linabeba maksi kumi iii. Zingatia mpangilio wa kazi. iv...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
amaa aliamua kumtoa dem wake aut kwaajili ya chakula cha usiku kufika hotelin wakakaa mezan muhudum akaja, kaka nikuhudumie nin, tafadhal :NILETEE MENU LISTI: dada na wewe, dada ajibu kwa pozi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Amekuja kuangalia makaburi ya waliokuwa maswaiba zake waliotangulia mbele za haki MANGWEA NA LANGA!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Pamoja na kuwa sheria za dini yangu ya kikurya zinaniruhusu kuoa wananwake wengi kadri niwezavyo, lakini kwa Mamndenyi ninatangaza rasmi kuwa nimevunja uchumba wetu tuliokuwa tumeuanzisha hivi...
8 Reactions
142 Replies
8K Views
Wapendwa wana chitchat naomba mshirikiane nami kumtakia safari njema na kuiombea familia ya kipenzi changu Mr kiwatengu kwa matatizo waliyoyapata. Mungu awasafirishe salama na kuwapa nguvu na...
3 Reactions
208 Replies
23K Views
Oooops! Mrembo mzuri ani pm, tufanye nae maisha.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
MWALIMU;Mwalimu m1 aliandka ubaon kiss me na kuwataka wnfnz wasome kw saut. WANAFUNZI;Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…