Ratiba yangu ya siku ya leo
1. Naenda shule ya sec. Kimandolu kupiga kura.
2. Naingia kanisani kujumuijka na wenzangu ibada ya pili kumwomba Mungu leo mabomu yawalipukie wao wenyewe.
3.Kurudi eneo...
Freemason ni jamii ya siri, hakuna ajuae mambo yao yaendavyo wala hakuna freemason kimbelembele kama hawa humu jf. Na wewe mwenyewe huna sifa za kua freemason. Nibora ukajikite zaidi na mambo ya...
Mimi ni Mdada niliyemaliza form Six, na kwa sasa sina ajira yoyote.
Ila nahitaji kufanya kazi za ndani (U-housegirl) kwa mwanaume ambae amefiwa na mkewe (Mgane) AU Ameachana na mkewe.
Umri...
mwee huo msala nimeushuhudia mwenyewe live hii tabia Paloma aliianza taratiibuu sasa kaipeleka mpaka mtaani wana cc msione sosoliso hasemi kwa Paloma ni haya mavitu ananusishwa hahahahahaha
aione...
Wageni wa siku hizi wazuri sana,si wasumbufu kama wazamani.
Wakifika kwako hawaulizi chai,juice,soda wala maji ya kunywa,
Kitu cha kwanza wakifika nyumbani kwako wanauliza 'UNA CHAJI YA PINI NDOGO?'
Mimi sijafurahia kauli za mwana FA.
Eti nafikiria kuarisha show yangu ila sio kwasababu nina muogopa Mwanamke.
Why dont you reffer to Jide. hiyo ni kauli ya dharau kwa sisi wanawake.
All ladies...
Itakuwa hivi:
Inbox ya Mr Rocky: from Mamndenyi..." i can't take it any more nameza sumu ya panya".
Inbox ya Madame B....." kwa nini umechoropoa mimba yangu? From Ben Saanane"...
Frankly speaking ifike mahali vijana tujitambue..malengo pamoja na maisha yetu ya badae.Haya mazoea ya starehe,pombe,matendo ya kiasherati yasokua na msingi wowote ule hayatatupeleka popote..get...
kabla sijaandika hili niliwaza na kumwomba mungu sana.....
Dear God if I hurt others, give me the strength to apologise because
I'm not perfect, I make mistakes. And I hurt people. But when I...