Mention "MOTTO" of the primary and secondary school U̶̲̥̅̊ attended.
Kwangu! Elimu ni ufunguo wa maisha
Bidii elimu na kazi ni msingi wa maisha
Hivi mfano wakoloni waliotutawala wangekua ni WACHINA ingekuaje:-
1.miji na mashule mengi yangekua na majina ya kichina
2.kusingekuepo na dini mbili kubwa nchini kama RC na islamic badala yake...
Taarifa rasmi:
-Kuanzi sasa maombi ndoa yanapokelewa ofisini kwangu 24hrs, na yatashughulikiwa ndani ya dk arobaini na ndoa kufungwa.
-Ndoa zote zilizo kwenye migogoro, naomba hiyo migogoro ikome...
Wadau kuna kijana anayeitwa AMANI YUSUFU MAKAMBA mkazi wa mikoa ya kusini. kijana huyu anyedai kuwa mzee Yusufu Makamba ni baba yake mzazi amekuwa akiwatapeli watu mbalimbali fedha na mali kwa...
Wapenzi ndugu zangu wachitichati, habarini kimiamko.
Kumekucha tena Jumamosi , ambapo wengi wenu mu mapumzikoni mwa mwisho wa juma.
Aidha wengine akina sie mishemishe zetu, kukicha ni teke...
NANI ZAIDI
1. Mpare anayeenda benki na spana kufungua akaunt
2. Msambaa anayevua viatu kuingia kwenye taxi
3. Mzigua anayeingia kitandani na rula kupima atalala kwa muda gani
4. Msukuma...
Ni muda mrefu toka nilivoachwa na Rejao
nakuja kwa mwenyekiti wa ndoa wa chitchat Baba V
naomba kwenye familia yako unitafutie kijana mmoja mzuri ili niweze kuwa nae
naumia sana ninapoona...
Akijibu tuhuma hizo, Madame B mwenyewe alikiri kuwa ni kweli anatoka na huyo jamaa, na wameshibana kwelikweli.
Wambea kazi kwenu.
Mbuzi Kala Mkeka...
Kila siku akina Wema na Lulu tu...
Kiukweli hata uangalie vp huwezi filisi au chukua kitu kwa macho, hata mzigo kama huu hata uangalie vp utaishia kufaidi au watoto wa mjini wanasema kula kwa macho. Mzigo kama hii kweli mwacheni...
Nimeenda Bagamoyo,nimevunja nazi,nimepeleka njiwa mweupe,lakini bado hutaki ku-reply pm zangu,sasa liwalo na liwe na kama hutasema chochote mpaka j2 ya tar 19.05.2013 saa5.59 usiku basi ujue...
Habari zenu wana chit-chat.
Sina Mengi zaidi ya kumwomba msamaha my wife Arabela kwa kupotea sana tena si kidogo najua anafahamu ila alimwaga ya moyoni ili nirudi mapema,ni kweli nimekuwa na...
Kwa yeyote mwenye taarifa zake jamani atueleze ni nini kimempata maana ni siku nyingi sana sijaona thread zake na michango yake mbalimbali yenye kufundisha wana CHI-CHAT walio wengi watakubalina...
Ugonjwa hauna hodi unaweza kukumbwa tu kama kimbunga kivamiavyo nyumba iliyo sahaulika kufungwa milango, kama nyumba haina msingi imara inaweza kuezuliwa kabisa.. Dada yangu kipenzi alie wahi...
Wakuu, hapa ninapokaa, kuna uani mkubwa umezungukwa na nyumba upande mmoja, halafu kuna kamba nimefunga mbele ya mlango wa nyumba ninayokaa.
Sasa kuna mashindano yasiyokuwa rasmi yameibuka...
Mhe:(MB)mwangungu hivi punde akichangia katika wizara ya miundo na ujenzi KATIKA KITU AMBACHO SIO CHA KAWAIDA AMBACHO HAKINA TOFAUTI NA MAMBO YA UDAKU.
amemwambia John pombe magufulu amekuwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.