JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
zuzu aliposa, akaambiwa mahari million 5, akasema kwa mshangao, HE MILIONI 5? wakati kwa jirani nimeambiwa laki 2 tu tena binti ana MIMBA KABISA!
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mention "MOTTO" of the primary and secondary school U̶̲̥̅̊ attended. Kwangu! Elimu ni ufunguo wa maisha Bidii elimu na kazi ni msingi wa maisha
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Hivi mfano wakoloni waliotutawala wangekua ni WACHINA ingekuaje:- 1.miji na mashule mengi yangekua na majina ya kichina 2.kusingekuepo na dini mbili kubwa nchini kama RC na islamic badala yake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Taarifa rasmi: -Kuanzi sasa maombi ndoa yanapokelewa ofisini kwangu 24hrs, na yatashughulikiwa ndani ya dk arobaini na ndoa kufungwa. -Ndoa zote zilizo kwenye migogoro, naomba hiyo migogoro ikome...
2 Reactions
138 Replies
6K Views
Wadau kuna kijana anayeitwa AMANI YUSUFU MAKAMBA mkazi wa mikoa ya kusini. kijana huyu anyedai kuwa mzee Yusufu Makamba ni baba yake mzazi amekuwa akiwatapeli watu mbalimbali fedha na mali kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wapenzi ndugu zangu wachitichati, habarini kimiamko. Kumekucha tena Jumamosi , ambapo wengi wenu mu mapumzikoni mwa mwisho wa juma. Aidha wengine akina sie mishemishe zetu, kukicha ni teke...
0 Reactions
49 Replies
3K Views
NANI ZAIDI 1. Mpare anayeenda benki na spana kufungua akaunt 2. Msambaa anayevua viatu kuingia kwenye taxi 3. Mzigua anayeingia kitandani na rula kupima atalala kwa muda gani 4. Msukuma...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
wadau naombeni msaada wenu wa mawazo!!! hivi kupeleka nguruwe msikitini na kwenda kufanya fujo jeshini wapi kuna uafadhali ????
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni muda mrefu toka nilivoachwa na Rejao nakuja kwa mwenyekiti wa ndoa wa chitchat Baba V naomba kwenye familia yako unitafutie kijana mmoja mzuri ili niweze kuwa nae naumia sana ninapoona...
4 Reactions
124 Replies
6K Views
Akijibu tuhuma hizo, Madame B mwenyewe alikiri kuwa ni kweli anatoka na huyo jamaa, na wameshibana kwelikweli. Wambea kazi kwenu. Mbuzi Kala Mkeka... Kila siku akina Wema na Lulu tu...
5 Reactions
89 Replies
7K Views
Kiukweli hata uangalie vp huwezi filisi au chukua kitu kwa macho, hata mzigo kama huu hata uangalie vp utaishia kufaidi au watoto wa mjini wanasema kula kwa macho. Mzigo kama hii kweli mwacheni...
5 Reactions
35 Replies
8K Views
Happy birthday figganigga with love & joy!!
6 Reactions
154 Replies
12K Views
Nimeenda Bagamoyo,nimevunja nazi,nimepeleka njiwa mweupe,lakini bado hutaki ku-reply pm zangu,sasa liwalo na liwe na kama hutasema chochote mpaka j2 ya tar 19.05.2013 saa5.59 usiku basi ujue...
0 Reactions
64 Replies
4K Views
Habari zenu wana chit-chat. Sina Mengi zaidi ya kumwomba msamaha my wife Arabela kwa kupotea sana tena si kidogo najua anafahamu ila alimwaga ya moyoni ili nirudi mapema,ni kweli nimekuwa na...
4 Reactions
80 Replies
5K Views
Kwa yeyote mwenye taarifa zake jamani atueleze ni nini kimempata maana ni siku nyingi sana sijaona thread zake na michango yake mbalimbali yenye kufundisha wana CHI-CHAT walio wengi watakubalina...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
habari za saa hizi wana jf. Hivi ni umbo lipi kati haya unavutiwa naye; mnene, mweus, mfupi, mrefu au mweupe. na kwanini?
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Ugonjwa hauna hodi unaweza kukumbwa tu kama kimbunga kivamiavyo nyumba iliyo sahaulika kufungwa milango, kama nyumba haina msingi imara inaweza kuezuliwa kabisa.. Dada yangu kipenzi alie wahi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, hapa ninapokaa, kuna uani mkubwa umezungukwa na nyumba upande mmoja, halafu kuna kamba nimefunga mbele ya mlango wa nyumba ninayokaa. Sasa kuna mashindano yasiyokuwa rasmi yameibuka...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Mhe:(MB)mwangungu hivi punde akichangia katika wizara ya miundo na ujenzi KATIKA KITU AMBACHO SIO CHA KAWAIDA AMBACHO HAKINA TOFAUTI NA MAMBO YA UDAKU. amemwambia John pombe magufulu amekuwa kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ndani ya daladala toka K/koo kwenda Kimara, lilipofika Manzese konda akauliza; Konda: kuna mtu anashuka? Mrembo akajibu: Tumeyacha nyumbani, hapa tuna mitandio tu!! Kufika Ubungo Maziwa, yule dada...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…