A husband calls up a hotel's
manager from his room..
Husband : Please come fast , I
was having an argument with
my wife and she says she's
gonna jump out of the window. Manager : Sir, I am sorry I...
Wasalaam wana chit-chat natumai mu wazima wenye siha njema.
Majukumu yamenifanya niwatenge kwa muda kwakuwa nimekuwa naingia kwa beep,
Lakini muda si mrefu kuanzia tarehe 20-03 tutakuwa...
---------------------------------
If U were born on the 1st, 10th, 19th, 28th of any month U r number 1....
If U were born on the 2nd, 11th, 20th, 29th of any month then U r number 2...
If U...
Wadau wa JF CC, mwaonaje hali!?!?!?!:peace:
Kwa mara nyingine tena , katika jitihada za kuondoa makunyanzi usoni na moyoni…..famile ya CC inapenda kuwafahamisha kuwa bro wetu, rafiki, baba...
Ndugu wana Chitchat na JF kwa ujumla...
Nasikitika kuwaaga :sad: :sad: :sad: , kuanzia jumatatu ya tarehe 18/03/2013 nitakuwa nje ya Jukwaa letu pendwa kwa muda usiojulikana. Mungu akipenda...
Kwa mara nyingine tena JF forbes inawaletea watu walioweza badilisha dunia kwa namna moja ama nyingine kupitia biashara mbalimbali,
Bishanga kwa mara nyingine tena anaongoza kwa gap kubwa...
Huyu jamaa ni mchafu sana! KWA NINI HUTUMII TISSUE KUPENGA MAKAMASI, UNAFUTA MAKAMASI YAKO KWA VIDOLE HALAFU UNASHIKA PENI KISHA HIYO PENI UNAMPA MTU MWINGINE ANAITUMIA NA UNAJUWA MARA NYINGI...
Huyu hayawani, Jahil Munakirr, tangu abahatishe namba yangu ishakuwa kero, kila siku kunipigia eti amependa sauti yangu, sasa si airekodi apigie puchu kuliko kunisumbua kila siku usiku nikiwa...
Juzi kwa mara nyingine uliahidi kutoa tamko zito kuhusu ndoa yako,mbona kimya?
Nakuaminia mkuu......mwaga razi,rusha nyuki,piga nondo mwanawane,usiogope cha kiplagati26 wala cha Ben Saanane wote...
Mtaka cha uvunguni ni sharti ainame,mwenda kwao siku zote haogopi giza.
Mtu anatapika nyongo yake halafu anailamba tena anaangaliwa na mzee magumashi.
Mapenzi ni kama kitabu,mpaka usome...
Ndio nimetua Mwanza hivi punde....
Nimepokelewa na charminglady na @C6, watu wa Mwanza ni wakarimu sana, nipo hapa Hoteli ya JB Belmont nimejipumzisha kabla ya kuianza siku na vikao lukuki, jioni...
1. Your Pupils can expand as much as 45 percent when looking at someone you love
2. Violence has actually been steadily declining over the course of human history. We are currently in the midst...
Habari wana Jf cc! Am a new member humu jamani ila ningependa kufahamu kama kuna wanaJf wanaoishi maeneo ya Same kilimanjaro au Arusha hasa maeneo ya Njiro nanenane maeneo ya kambini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.