JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo watoto wenye umri kuanziamiaka mitatu kushuka chini wanaandamana kuelekea wizaraustawi wa jamii kudai kuibiwa jina lao "BABY" na kupewa watu wazima wenye ndevu kila sehemu wanaitana BABY...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwalimu kaingia class akiwa na daftari la nukuu, akafunua na kuanza kuandika ubaoni: Mchele sh. 34,000/- Unga sh. 26,000/- Maharage sh. 15,000/- Pango sh. 150,000/- Karo sh. 250,000/- Mafuta...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wanaCC,kwa taarifa fupi nilizopata kutoka gerezani(BANN) Mwenyekiti wetu Baba V ameamishiwa gereza la KASUNGAMILE kule wilayani Sengerema,na lile gereza linasifika kwa KULIMA...
1 Reactions
4 Replies
939 Views
Dar ni mji mkubwa sana kiasi kwamba wengi wetu hadi tunakufa sehemu nyingine za mji huu tutazisikia redioni. Kutokana na ukubwa huo Dar haifanani hata kidogo. hebu tupe tathimini yako wapi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1-Urefu na ufupi ni Majaliwa ya Mungu ila Vitambi na Mimba ni juhudi zetu wenyewe. 2-Uzee mwisho Chalinze mjini kila mtu ni Baby
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Once you find symptoms of CCMonia sickness such as 2lithubutu na 2nasongambele or 2vumiliane..., immediately take Chademaquine tablets and surely U will be cured! Chademaquine tablets are...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Im new here .i hope mtanipokea mikono miwili.
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Spika: Kuna mtu amejamba humu ndani! Lisu: Atakuwa pinda huyo mheshimiwa! Mbowe: Naomba mwongozo wako mheshimiwa Spika, kanuni ya 64, ibara ya 3a inasema kwamba "Mtu akijamba katikati ya kikao...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Kipaji Halisi...naelekea uzeeni sasa..nakula chumvi tu
6 Reactions
63 Replies
6K Views
habari wana cc? Baada ya kutoonekana kwenye familiya hiii kwamuda kidogo hatimaye nimerejea tena kundini.
0 Reactions
57 Replies
3K Views
Sasa wenzangu wanaJF, naogopa hata kulizungumzia hili tukio maana ni kikao kilichonipa aibu hata ya kuonesha sura yangu hadharani kimataifa maana imekaa kikwetukwetu vile Hebu sikia hili...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Zuzu alikuwa anatembea ghafla akaona kitu kama mavi akayagusa na kidole alafu akayalamba..... Akasema duuuh kumbe ni yenyewe NASHUKURU MUNGU SIJA YAKANYAGA!!!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hebu niambie, ingekuwa wewe ni mwalimu wa chekechekea halafu vitoto viwili unavyovifundisha, cha kike na cha kiume vikaja kukuuliza: "Eti mwalimu, watoto kama sisi tunanaweza kupata ujauzito?"...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Prove that,0/O=2.Simple arithmetic kwa wale magwiji wa namba!
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Mpemba mmoja alikuwa akimfundisha mwanae wa kike, mambo yalikuwa hivi,,, mpemba:mba,mbe,mbi,,,,mbu! mwanae: mbona umeruka baba ulipofika mbi? mpemba:hiyo niliyoruka utafundishwa na mumeo!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shikamoni wakubwa zangu. Habari zenu vijana wenzangu. Natanga rasmi kua sina tena mahusiano na Suprise wala Rich woman Kuanzia sasa nitakua na Nitakua na mimisa ambae siku si chache...
4 Reactions
291 Replies
13K Views
Husband texts to wife on cell.. "Hi, what r u doing Darling?" Wife: I'm dying..! Husband jumps with joy but types "Sweet Heart, how can I live without U?" Wife: "U idiot! I'm dying my hair.."...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Hizi ndio sifa za kila mkoa Tanzania! DAR-Utapeli ARUSHA-ustaarabu MBEYA- matukio ya ajabu MWANZA-fujo TANGA- mapenzi MORO- Starehe DOM- kuomba IRINGA-kujinyonga RUVUMA-pombe RUKWA- uchawi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
jamaa alipita sehemu isiyoruhusiwa katika kambi ya jeshi na akapewa adhabu ya kuamisha tofali 1000! jamaa akajitahidi akabeba tofali 900 na akawa hoi!Na ghafla akakumbuka kuwa mkuu wa kambi ni...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Mi mgeni mnanikaribishaje humu
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…