Kwako rafiki mpendwa.
Haijalishi umepitia na bado unapitia
mangapi. Mungu ameahidi kukupa
njia ya kutokea, kukupigania nawe
uwe mshindi.
Usiyaangalie unayoyapitia, bali
mwangalie yeye...
Kipofu alimpiga mtu hadi kumuua akapelekwa mahakamani "HAKIMU" kwa nini umefanya ukatili wa namna hii "KIPOFU" Mheshimiwa hakimu marehemu aliniambia mwenyewe "NIPIGE UONE" kwa vile nilikuwa na...
Dear Brothers n Sisters wa JF.
Recently nilipata msiba wa kuondokewa na shangazi na binamu yangu.
Naomba kutumia jukwaa hili kuwashukuru sana wana JF wote walionipa pole za msiba huo.
Asante...
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa., mara ya mwisho kumwambia mkeo kuwa unampenda ni lini? wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi...
Messi kaingia na demu gheto kwake.Yule demu akaingia bafuni kuoga. Aliporudi toka bafuni alimkuta messi akiwa na washikaji wengine wawili.Yule demu akahoji wale ni akina nani na wako pale kwa...
wadau wapendwa usichezee ban ni nouma nimetoka kwa msamaha wa rais chochoko tena baaas let us be great thinkers mic you lot Nyani Ngabu,,,,,,, watu8,,,,,, Baba V,,,,,,,,,, Ritz...
Habari za jioni wana Chit-Chat!
Nimefuatilia kwa makini suala la Chimbuvu na Madame B na kugundua ubabaishaji mkubwa wa mwenyekiti wa kamati ya mahusiano CC.
Kwanza,mwenyekiti alitangaza...
Messi has been arrested! It is
alleged that
he was
caught together with a group of
gangsters
in
possesion of
cocain and marijuana.
They believe it is
not the first time Messi has been...