Ruttashobolwa ame dedicate hii nyimbo kwa mpenzi wake wa kumoyo,kaniomba niirushe hapa kwa niaba yake:
oh Madame B,
oh Madame B,
umenigeuza shamba la bibi,
sina tena kitambi,
kama zamani...
The Man went with his wife in the middle of the night. The doctor was called in to assist in the delivery.
To keep the nervous father-to-be busy, the doctor handed him a lantern and said, "Here...
nikama wiki tatu sasa,kuna dada mkazi wa ungalimited alimuokota paka mzuri barabari akiwa anatoka kazini,dada akajifanya anapenda sana wanyama akamchukua yule paka na kwenda nae kwake,dada...
Kwa niaba ya wana Chitchat wote nawaomba Moderators wote watusafishie jukwaa letu pendwa kwani limevamiwa na Mamluki....
Hapo awali kabla ya mamluki hao tulienjoy sana jukwaa hili bila BAN...
kuanzia leo jioni hadi jumapili.ni full ku-:sleepy: yaani ile sana+:spit:halafu :violin: na ku :bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange:..Maulidi njema na wikendi njema kwa woote..
Nimekuta mchango humu JF ikiwajadili Wakurya, Wanyiha na Wazaramo kuhusu kuona wake wengi; naomba Modi mniruhusu kuufufua kwa njia ingine na kwa malengo mengine kama ifuatavyo. Mababu zetu...
An man drinks at the pub until they close.
He stands up to leave and falls flat on his face. He tries to stand one more time and falls again. He figures hell crawl outside and get some fresh air...
Ndugu wana JF wenzangu; nipo hapa morogoro kikazi na nilibeba vimoderm vyangu viwili; sasa kale ninakokategemea sana kuperuzi huku JF kamenigomea siku ya pili sasa- ka eateli 3.75G . Nimewasiliana...
kwa:
Erickb52 .
my brother , nategemea ujio wako katika kuweka mambo safi, hasa ki uchumi hali imekua mbaya miradi uliyo waachia wasimamizi wako wanahonga ovyo ovyo huku hasa huyu...
Jamaa alikuwa kwenye Hummer na mpenzi wake, ambaye wakati huo alikuwa akilamba ice-cream huku kiyoyozi kinampuliza, gari liko kwenye silence;
MJAMAA: Bebi kuna kitu nataka kukwambia lakini najua...
Tuliishi kwa amani na kutaniana na kupeana madongo ya kila aina.
Hakuna aliyevuka mipaka wala hakuna aliyeenda mbali zaidi ya utani wa kawaida.
Jukwaaa lilikuwa ni stress free sehem ambapo...
Habari wana chitchat.
Nimekuwa mfutiliaji sana na mshiriki wa JF hasa jukwaa la siasa na mara chache nimekuwa nikiingia hapa .
So kupitia hapa namtafuta mwanachitchat mdada wa kuniliwaza japo...
Fanya utafiti kwanza kwa kuanza na wewe mwenyewe.(kama ni wewe ni mwanaume) au mwenzi wako(kama wewe ni mwanamke).
Jiangalie dole gumba la mguu wako ni directly related na ukubwa wa uume wako...