Jamaani nyie dar Wing's mbona mmepooza kama maembe sifurii? Oneni wivu wa kimaendeleo jamani. Ivi amjisikii vibaya wenzetu wa Tanga na Arusha walivyo na unit kama siafu? Nini chanzo cha nyie...
Jamaa alisikia tetesi kwamba mkewe analiwa uroda, akafanya tego la kumnunulia chupi tano zote za bluu......
aliporudi nyumbani mkewe akampokea kwa mshangao "mume wangu mbona zote za abluu au...
Eti,"Tumemuwekea sanctions"!!
HA HA HAAAAAA!!!
Kumbe kuna watu wanadhani Jf ni sehemu ya kutafutia umaarufu?
Umaarufu kwa Id fake?
HA HA HAAAA!!
Chit Chat bhana!!
COPY TO mrobhanda.
Kuna members wanao7bisha members wengine kapata BAN. % kubwa mwanzisha hapati BAN isipokuwa wachangiaji wa thread husika.
Nifupishe maongezi kwa kukutafadhalisha usipost chochote kama thread...
Baba mmoja alikuwa anamfundisha binti yake mwenye umri wa miaka 8jinsi ya kujifunza kusomana kuandika kiswahili.Baba alianza kwa kumwambia binti wake.
BABA:Sema A,E,I,O,U
BINTI:A,E,I,O,U...
Mdada mmoja mrembo sana alikuwa kapewa talaka na mumewe akahamia nyumba
aliyokuwa kapanga CHEKA..... CHEKA alipomuona mpangaji mpya roho yote ikamtoka... Akajitahidi kila njia kumuonyesha kuwa...
A teacher asks her class "If there are 5 birds sitting on fence and you shoot one of them how many will be left?" she calls on little johhny.
"None they all fly away with the first gun shot"
The...
INBOX SMS ZA MSICHANA KWENYE SIMU; Frank: I love u gal.
M pesa: You have received 15,000 kutoka kwa John
Tesha.
Bodaboda: Unajua nahisi km nataka nikutoe diner
leo.
100: Umepokea muda wa...
Hapo mwanzo Mungu aliumba ulimwengu na wanyama wake. Kila mnyama alipewa miaka ya kuishi 30. Kati ya wanyama walioumbwa walikuwa Punda, Mbwa na binadamu. Mungu akawauliza wanyama hao Je! unadhani...
MKE WA MLEVI:Mume wangu ulisema huu mwaka mpya 2013,utabadirika na kuwa mtu mpya kabisa na pombe utaacha,sasa mbona bado unaendelea kunywa pombe?
MLEVI:Hapana mke wangu si kwamba...
Habari zenu wanachitchat wenzangu
naona mko ifit kimtindo leo nimeingia kwa gia namba 4 ambayo haiwezekani kabisa kushika njia za matopeni kwani itakwama yenyewe ni lami kwa kwenda mbele jamani...