JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
tangu nimejiunga na chitchat naona kila mtu ana mke/mume wake,so natangaza nia nimechoka kuishi pekeyangu,kwahiyo natangaza nia alie tayari kuishi na vampire aliejizeekea(cow hazeeki maini)...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Poleni na Majukumu ya ujenzi wa Taifa wakuu Nimeskia katika kipindi cha Heka heka cha clouds FM kuwa kuna kijana mwenye umri wa Miaka 18 mwanafunzi wa kidato cha sita alikuwa na rafiki yake wa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mke.wa.kizaramo..."""..Mwaka.ndo.ushaanza.achana.na.mambo.yako.ya.ki.analojia.kutulisha.mchicha.kila.siku....Sasa.hivi.ni.mambo.ya.ki.DIJITALI.TUNATAKA.KUKU.SOSEJI.NA.WALI.KWA.SINDANO.""....mnakazi...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
jamaa mmoja alitupia k2 cha Chuga , eti juu ya mti. bahati mbaya c akadondosha njiti ya kiberiti akaitazama akaZOOM, akaona ipo karibu saizi ya kuinama tuu, si akainama aokote, kilichotokea mimi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu wengine bwana!! Eti unakuta mtu ni member humu,afu anajifanya mod!! Nitamgeuza mtu panya sasa hivi,ohooo!!
0 Reactions
44 Replies
3K Views
We need changes'
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya kukaa kama kamati mimi na Arabela leo tumemruhusu Arushaone kurudi nyumbani kuungana na mkewe halali Blaki Womani. Kwa kweli tumefaidi............, na tmemrudisha mzimaaa na safe from...
6 Reactions
162 Replies
8K Views
  • Closed
Wana JF. Habari za kazi na poleni na majukumu. Naombeni kuwauliza hivi nyie shughuli zenu za kuenda maisha yenu mnazifanya sasa ngapi na muda gani. Kila siku mpo humu mie nikisafiri nikirudi...
6 Reactions
163 Replies
8K Views
Jmn naomben msaada wap/sehem gani (hotel au eneo) ambapo kuna wasichana/wanawake wanajiuza (malaya) kwa hapa mwanza nina shida nao nataka kukamilisha Research yangu msaada tafadhal!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Huu usingizi nitaununua wapi 2nite???
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani nimeingia jf hivi karibuni tu lakini kuna kitu kimenikera. Hivi kwa nini hawa wanaume wa kihaya wana majivuno namna hiyo. Mara utamsikia sipendi mwanamke anayeishi uswahilini mara hujui...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Husband bought 12 underwear of the same colour for his wife, the wife protested,'why you bought same colour people might think Am not changing it' Husband asked which people???, the lady is...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa zilizovuja ni kwamba makahaba wa nchi nzima wameamua kufanya maandamano siku ya ijumaa kupinga ushoga nchini lengo ni kuhofia biashara yao itakuwa matatani kama ushoga utapata nafasi kwani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani ee mi mgeni humu ila napapenda hapa pananifulahisha please admit me
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wapendanao walienda lizo mkoani MWANZA , waliamua kujipumzisha katika HOTELi ilioyo Kua karibu na ZIWA , MUME alipenda sana Kuvua Samaki wakati MKE yeye Hupendelea Kukaa Chini na Kujisomea Story...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hivi tutaacha pombe kweli??!..maana sasa ni full kujiachia wINE mpaka sh.600 !!..burudani!
0 Reactions
31 Replies
2K Views
TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO! kwa wasio na VING'AMUZI majumbani Kwao! kwetu tunaonyesha vpindi vifuatavyo! 1-Taarifa ya Habari Tshs 250/= 2-Tamthilia ya ITV&STAR-TV Tshs 400/= ... 3-SPORTS BAR...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Never reject anybody in your life, because good people give us happiness & bad people give us experience. Both are essential in life! SIKU NJEMA.
1 Reactions
2 Replies
763 Views
Msichana mrembo alikua hajisikii vyema katika daladala iliyojaa kupita kiasi. akamwomba msaada wa siti kwa kijana mmoja aliyekaa. Jamaa akamwambia njoo tu nikupakate maana sitoweza kusimama...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
PESA PESA PESA. Kanisani zinaitwa zaka/sadaka.Kwenye magari zinaitwa nauli. Ukitaka kumtoa mtu mahakamani zinaitwa dhamana. Ukizitoa kwa kukutwa na kosa zinaitwa rushwa/takrima. Msibani...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom