JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
The value of a # 2 Pencil YOU WILL LAUGH OUT LOUD!! AND THEN YOU WILL FORWARD TO EVERYONE WITH THAT BIG OLE' SMILE ON YOUR FACE!! The value of a Catholic education...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A professor of mathematics sent a fax to his wife. It read: "Dear wife, You must realize that you are 54 years old and I have certain needs which you are no longer able to satisfy. I am otherwise...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A married couple went to he hospital to have their baby delivered. Upon their arrival, the doctor said he had invented a new machine that would transfer a portion of the mother's labour pain to...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
A MAN SAYS 2 HIS WIFE: TELL ME SOMETHING THAT 'LL MAKE ME HAPPY AND MAD AT THE SAME TIME. THE WIFE SAYS: YOUR d*ck IS BIGGER THAN YOUR BROTHER'S :A S-confused1:
0 Reactions
4 Replies
1K Views
je ni kweli kwamba wengi wao ni masikini jeuri? Wapo wanaodai kwamba wanajiamini sana na wana misimamo, hii misimamo wengi huiita dharau. Ni watu wanaopenda sana sifa na kutukuzwa<source mimi...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Tangu nimeingia humu, haikua inapita masaa ikiwa sijaona mtu mzima huyu kuliona jina lake nyuzini. Na hadi kufikia namuulizia ni pia kwa kumbukumbu zangu ndiye alikua membar wa kwanza ku'shere...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Eti The Finest yupo single? Eti Mwanakiji haish kijijin? Eti Kongosho ana sauti lain? Eti kuna memba kaibiwa bwana hapa? Eti kuna pati ya jf kubwa hufanyka hualikwa wene majna tu? Eti jukwa...
3 Reactions
101 Replies
7K Views
jamaa mmoja alichelewa kuamka kwenda kazini,, ivyo alipokuwa njiani akiendesha gari kuelekea kazini,, ilibidi aandike msg kumtaarifu boss wake kuwa atachelewa kufika ofisini,, sasa alipomaliza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwaka 2012 chagua kudai haki yako na kulinda raslimali za taifa zisiporwe na wahuni wachache kwa manufaa yao binafsi. Mtanzania unapaswa kufunguka na kutoka kwenye chupa. Haki ya mtu haiombwi bali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ubarikiwe bundle la internet la kutosha, usipende starehe kama.......bali uwe mpole kama......... nakuombea ufurahi kamaa..... na mwisho kabisa, ukumbuke kukaa na familia
0 Reactions
2 Replies
1K Views
cuf wamefanikiwa kujifungua salama mtoto wa kiume. cuf wanashuku kwa kufanikiwa kupata mtoto. jina ADC. hongereni cuf na ccm kwa kupata mtoto.
0 Reactions
0 Replies
873 Views
ki ukweli nimetembea kigoma na wilaya zake zote.ni mji mzuri si kama wengi wanavyodhani wala morogoro haingii ndani
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Last wik nikiwa naangalia kipindi cha wasanii, Star Tv nilimshuhudia msanii Dokii akithibitisha kua ameokoka. Leo nikiwa naangalia Tv hiyohiyo, katika matangazo ya moja kwa moja kuonesha...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
A professor of chemistry wanted to teach his fifth grade class a lesson about the evils of liquor, so he produced an experiment that involved a glass of water, a glass of whiskey, and two worms...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya fungate la ndoa yao, bwana harusi alikaa bi harus akaanza kumpa sheria: Mr: Nitakua natoka na kurud mda ninaotaka na kwenda ninapotaka. Unatakiwa unipikie chakula kitam kila siku. Pia...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimepewa swali na ninatakiwa kuwakilisha jibu kesho. Hapa nilipo kichwa kishapata moto na jibu sijalipata. Naomba tusaidiane nisije umbuka mwanaume mwenzenu. Swali lenyewe liko hivi:- Nimepita...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
A guy is sitting at a bar, throwing back glass after glass of scotch. The bartender, a little worried, asks him if he's okay. "No, I'm not," the guy replies. "I just caught my wife in bed with...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanaume flani walikuwa wanatambiana kuhusu uwezo wao wa kuuchuna, wa kwanza akasema kuna siku alimpigia simu mkewe akapokea lakini hakusema hallo kwa hiyo nae akauchuna hakukata simu wala kuongea...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Rais akifungua mradi wa maji basi atachota na kunawa kidogo,akiwa anazindua barabara basi atatembea kidogo kwenye barabara hiyo mpya,pia rais akifungua jengo fulani atakata utepe na kuwa wakwanza...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
jamani mnamkumbuka yule binti wa arusha angel aliyekuwa bss Yule mweupeeeeeeeee kama zeru zeru Am in love jamani na huyu mtoto mwenye kunipa file lake jamani msishangae ukasikia nimemuoa yule...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom