Mlevi kaingia bar na kumwambia meneja.
"Ebwana daaaah. Unajua mi ninashabaha ile mbaya... Naweza kujaza mkojo kwenye ileeee chupa ya juu kabisa counter bila hata kudondosha hata tonye..." Meneja...
Mwalimu mmoja alikua anafundisha bahati mbaya akajamba akiwa anasisitiza point.
Kwa aibu alitoka darasan bila kuaga, akakaa wiki mbili bila kuingia clas. Wiki ya 3 akaingia darasan na mazungumzo...
A farmer hires a college student one summer to help around the farm.
At the end of the summer the farmer says, "Son, since you have done such a fine job here this summer, I am going to throw a...
Nimeona kuna groups za Wanyakyusa kwenye Facebook.
Huko wanapeana habari za nafasi za kazi na nafasi za scholarship nje ya nchi.
Hili kwa kweli ni jambo jema, natamani na sisi kabila letu...
kuna tetesi zinasema eti kuwa ruge mutahaba uwezo wake wa kuwala wasanii wa kibongo haujaishia hapo ila mhaya huyu inasemekana aliwahi kutoka na mya pamoja na kat deluna
chanzo chetu cha habari...
Wana - wa - Bodi Jf,
Binafsi yangu ninazo kumbukumbu mahsusi , toka kwa Shangazi yangu. Nakumbuka siku 1 mie nikiwa na umri wa kama miaka 16 hivi , tukiwa tumekaa na Shangazi alikuja Binti wa...
An old man goes to the doctor for his yearly physical, his wife tagging along. When the doctor enters the examination room, he tells the old man, "I need a urine sample, a stool sample and a...
Watu wamekuwa wasumbufu sn day & night mi nasumbuliwa sana, wengine wana heshima zao humu hlf bado hawana staha.
Au tatizo ni ule uzi wangu? Sasa nawataarifu kama mtaendelea nitamwaga majina yenu...
If swimming is a good exercise to stay FIT, why are whales FAT??
Why is the place in a stadium where people SIT, called a STAND?
Why is that everyone wants to go to HEAVEN but nobody wants to...
Wabongo tuna kazi kwenye kutamka na kuyaandika haya maneno...
1. SIDE MIRRORS = Sight Mirrors, Site Mirror
2. HELMET = Element, Elementi, Elmet
3. FIRE EXTINGUISHER = Fire Tigisher
4. RAV 4 =...
habari zenu wana jf, leo nimekumbuka baadhi ya madikteta na waasi pmj na vikundi vyao ambao waliitikisa dunia enzi hizo...kuna akina hitler, musolini,saddam...tuendelee kujikumbusha wengineo...
Hili litakuwa zaidi ya lile la Sugu na Ruge ni zaidi ya uhasama wa cdm na ccm, ni ngoma nzito zaidi ya vita ya Bush na Osama, ni uadui zaidi ya ule wa Kibaki na Odinga, ni chuki kubwa zaidi ya ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.