Nashindwa pata Elimu sababu wazazi wangu hawana uwezo wa kunipeleka shule ingawa nimefaulu vizuri.
Sijulikani, sina uwezo wa kuongea shida zangu nikasikika.
Nikishiriki maandamano ya amani kwa nia...
Ni muda mrefu jukwaa limekuwa na utulivu wa hali ya juu, katika kujiuliza kwa nini naona kuna sura hazimo humu ndani pamoja na ya huyu mheshimiwa Mwita25. Hivi yupo wapi au jela? Au kabadili id?
Every morning in Africa, a Gazelle wakes up. It knows it must run faster than the fastest Lion or it will be killed.
Every morning a Lion wakes up. It knows it must outrun the slowest Gazelle or...
Wakuu naitafuta ile thread ya mtoto aliyekaa kwenye sinia ya chakula. Anayekumbuka iliko tafadhali naitafuta kuna kitu nataka nifanye reference (marejeo) nimeitafuta sijaiona. Atakaye iona please...
Heshma kwenu magreat thnker,poleni na majukumu ya kulijenga taifa naomba mwenye kupafahamu ubalozi wa ubelgij nchin tanzania uko maeneo yapi anisaidie kwa kunipa maelekezo,
MUNGU AWABARIKI SANA
Ivi inakuaje ukimwona msichana aliyevaa kwa heshima afu kwa bahati mbaya ukaona paja lake karibia na maeneo nyeti, mzee mzima unakua mkubwa ghafla.
Lakini mwanamke huyohuyo akivaa bikini...
PJ,
What I have said above is true and in reality I miss you. Please set your mind that; I will be coming to Arusha soon hopefully this December 2011 so that will meet.
Send my regards to all...
Niliingia duka moja kununua sandroz, bahati mbaya nilikuwa nimevaa viatu. katika harakati za kutaka kujaribisha nikavua viatu, nikazijaribisha zile sandroz nikiwa na soksi, nikawambia hizi ngozi...
Baada ya dawa hizi, hatunahaja na ma Doctor tena..
1. Kuumwa kichwa. Koroga vijiko vinane vya sukari katika maji ya fukuto unywe taratibu.
2. Maumivu ya viungo vya mwili. Chukua nusu...
Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama.
Muumini: "padri...
Mie jamani huyu shoga yangu wala simwelewi. Mwanzoni mwa mwezi ulopita, alikuja kunazima vidani vyangu vya dhahabu ili kuhudhuria pamvu ya dada yake. Siku kadhaa baadae akaja kunambia kwamba...
Kuna jamaa mmoja kutoka bara baada ya kuingia jijini Dar, siku moja katika matembezi yake aliingia katika choo cha kulipia. Kwa vile alikuwa amekula ugali wa mtama, alishusha mzigo kimba la...
kwa wale wanaodate kupitia mitandao sasa hapo ndio mtu anakuambia mm niko na 27,engineer upande wa civil,ni mrefu wastani,sio mnee wala mwembamba so kama umemkubali yy anakutumia invitation uende...
****mamako!! Ni tusi lililo kwenye midomo ya watu wengi sana, wake kwa waume!Ivi mimi na wewe tumekoseana, kwa nini umtusi mama yangu?Icho unachokitukana kina uhusiana gani na ugomvi wetu?Someties...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.