Washawasha na NALOG OFF zake kwa kweli ni kama kichekesho fulani.
Akimaliza kuongeaaaaaaa NALOG OFF
Akimaliza kusomaaaaaaa NALOG OFF
Nadhan katika hali ya kawaida huwa anafanya hivyo, kama vile...
Nataka kujua SIFA za watoto wote wa kiume na kike ambao mimba zao zinatungwa wakati wazazi wao wakiwa kwenye Fungate la NDOA yaani (HONEYMOON), nipo kwenye ka UTAFITI kidogo nadhani Machi 2012...
Nimechunguz hawa New members wote naona ukiongelea kuhusu chama tawala na serikali yake Mishipa inawavutika je nauliza wamepandikizwa humu JF??na Magamba? nijulisheni au na wanaajamvi fuatilieni...
It is true that i love 'U'..
I love u..
I cant even explain how much i love U..
Haipiti siku without seeing U..
That is why making me to love 'U' forever..
I love not only 'U' but also i love...
Habari zenu wanajamvi ni hivi leo asubuhi nikiwa kituoni nasubiri 5 5 ili nielekee kazini,watu walikuwa wamesheheni kusubiri usafiri basi ghafla bin vuu akatokea chizi ana mshipa(bu sha) mkubwa na...
Wana JF naomba mnisaidie katika jambo hili, nimekuwa nikisikia watu wakatumia sana msemo huu kuwa ubaya hawakuzaliwa nao bali wamefundishwa na ulimwengu, je hii ni kweli?
Huu wimbo ni mzuri sana kuusikiliza, kuna mtu aliniambia kuwa asilimia kubwa ya waimbaji wa huu wimbo walifariki kwenye ajali, eti ni kweli?
"Nyumbani kwetu hakuna Masaburi, wala hakuna maleria...
Ritz1, Rejao, Mzee, Mwita25/Bundajo (siku hizi amebadilika kiajabu-ajabu), watu hawa kwa mtazamo wangu wameamua kwa makusudi tu kuwa kinyume na hoja ili tu kuumiza vichwa vya watu kwa makusudi...
Siku moja Yesu alimtuma Yuda akanunue kuku saba kwa ajili ya sherehe.Katika kuwaandaa wale kuku,Yuda aliiba mguu mmoja kwa kila kuku.Wakiwa mezani Yesu akahoji;Yuda,hapa kuna miguu 7 ya kuku,miguu...
Juzi ulinikatikia ofisini,jana ulinikatikia nikiwa kitandani,usiku ukanikatikia tena,asubuhi ile navaa tu nguo ukanikatikia hapo hapo,
kwanini unakatika kila siku?dah huu umeme wa tanesco...
A man doing market research for the Vaseline
Company knocked at the door
and was greeted by a young woman with three
small children running around at
her feet. 'Im doing some research for...
Mwanafunzi wa 1: Toa maana ya Nahau zifuatazo:-
a) Kufikiri kwa masaburi
b) Mambo ya Ki -cameron
Mwanafunzi wa 2: hizo bado hatufundishwa labda tutafundishwa wiki ijayo
1.Jamaa alimpa lift dada, ikawa kila akibadili gia mkono unagusa paja la yule ddemu, basi yule dada akawa analalamika na kusema "kasome mathayo7". . .jamaa akaogopa na kuacha, kufika home tu jamaa...
Siku moja wapenzi wa timu za Yanga na Simba walikuwa wakibishana ambapo kila mtu alisema lake kwa mtazamo wake.
Mzee mmoja yeye alionekana kuwa na hasira zaidi akaanza kuongea kwa sauti kubwa...
Mtu anapigwa ban halafu anafungua ID nyingine, Au kuna watu wana ID kibao.
Mi naona hakuna mana ya kupigana ban..., Tuache watu watoe mapovu yao tu. Hiyo ndio Democrasia. Otherwise zitakuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.