JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jitokeze tupate amani ya moyo kipenzi. Ni Imani upo salama.
1 Reactions
2 Replies
183 Views
Niliyogundua katika zoezi hili la maandamano ni mengi sana, lakini haya machache tunaweza kujadiliana. 1. Hivi wale wanaotuma meseji za tuma kwenye namba hii walikuwa wapi? Maana sijapata meseji...
4 Reactions
7 Replies
406 Views
Kwa shida sana nimeingia jamvini! Any updates????
1 Reactions
17 Replies
491 Views
Jamaa kala zake vyombo kaopoa asubuhi sasa.
6 Reactions
8 Replies
412 Views
- Mara nyingi historia yake huwa na mafanikio kabla hajaanza ulevi, mfano utaambiwa alikuwa ana akili sana darasani, alikuwa hakosi kanisani, alikuwa mfano kwa vijana wengine, n.k. - wanazijua...
29 Reactions
56 Replies
2K Views
Ukiwa mkazi wa Dar, tenamwanaume, uchizi upo waziwazi. Hakuna siku isiyo na changamoto pro. Ngoja tuone.
9 Reactions
26 Replies
825 Views
Mzuka Wana Jamvi ? Yererereyerere!!! Yere yere ? Bado ya Kipenzi chetu Maghayo kupotezwa Jf bila huruma sisi wafuasi wake tumekaa Kikao na kuamua turudi kumuenzi mkuu wetu humu Jf. Kuanzia...
5 Reactions
19 Replies
700 Views
Alfajiri ya leo kiongozi msaidizi wa kikundi cha Redcross 26 amekamatwa akiwa mafichoni katika Ranchi bubu binafsi iliyopo Kongwa. Baada ya upekenyuzi wa hali ya juu ulioendeshwa na wabobevu...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Tayari nimeshaharibu kwa dada yenu. Mhehe. Sasa mimi na nyie dugu tayari. Hii ni baada ya wamatengo wa songea na waluguru wa Morogoro. Naam, zaeni mkaongezeke.
4 Reactions
4 Replies
250 Views
Let's have fun and do it English. English is somehow interesting and its known as the language of instructions,elites and the business language also. Just speak out,Joke In English and touch the...
1 Reactions
6 Replies
972 Views
Nimekaa nikawaza kuwa Serikali inaweza kabisa ikapiga ban pombe toka nje ya nchi na kuweka mkazo kwenye local brew zetu huenda na sisi tungeuza nje. Tatizo tunadharau vya kwetu, haya mawine na...
3 Reactions
77 Replies
16K Views
Ewe mwananchi ukapige ukishamaliza ukale ugali nyumbani.....
2 Reactions
12 Replies
548 Views
Habari za wakati huu wana jukwaa, swali langu ni hilo hapo juu nimehudhuria sherehe kadhaa utakuta mtu amepakuliwa chakula kidogo amekula na hajashiba linapotolewa tangazo la wanaohitaji kurudia...
9 Reactions
186 Replies
4K Views
Hizi ndoto zinasumbua sana sana, Huwa naota nakula masive food,iwe stew,nyamachoma,wali ugali.pilau etc Na kunakuwepo chakula kingi sana Na watu wote nawaona tunajuana kabisa hata jana nimeota...
2 Reactions
19 Replies
622 Views
Simu yangu inaita ilikuwa saa saba mchana wa leo,kwa kuwa nilikuwa kwenye kikao kazi kuhusu uchaguzi sikupokea simu,niliacha iite coz ilikuwa namba ngeni Baada ya kuita mara kadhaa sms ikaingia...
14 Reactions
60 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…