Umetoka Dar mpaka Bukoba kuja kunitafuta au kuna biashara zako

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,389
Simu yangu inaita ilikuwa saa saba mchana wa leo,kwa kuwa nilikuwa kwenye kikao kazi kuhusu uchaguzi sikupokea simu,niliacha iite coz ilikuwa namba ngeni Baada ya kuita mara kadhaa sms ikaingia

"Naitwa R ulinipaga namba jf kipindi umekuja Dar,nipo Bukoba mjini naomba tuonane"
Nimejibu"Niko bize nitakutafuta baadae*

Saa 9 natoka kumtafuta simu yake inaita anapokea tunazungumza ananielekeza alipo naendapo tunakutana tunasalimiana na akajitambulisha na mimi pia
Akaniagizia kinywaji,Waiter analeta maji madogo

Baada ya dakika 20 hivi ananiaga kuwa anaenda Uganda kuna mzigo anaenda kuchukua,siku anarudi kati ya jumatano au Alhamis tutaonana tuongee zaidi

Anaondoka na mimi naita boda wangu ananipeleka kwangu kupumzika

Ni saa 4 na dk 2 usiku huu ananipigia simu,tunaongea anaanza kudai hakusafiri bado yupo Bk ananiomba niende Hotel fulani pembezoni mwa mji km 3 kutoka nilipo,namuuliza mbona ulisema umesafiri Uganda,anajibu amehairisha,aliyekuwa anaenda kumuona Kampala hajatoka Dubai"Namwambia usiku umeingia ,ananilazimisha niende

Mr R mi siji huko nimeishalala
 
Nenda ukacheze na pumbu huko unaogopa nini mtoto wa kike kwani umeanza jana kuchezea rungu?
 
Kumbe uko bukoba dada ,naenda kufanya arobaini ya ndugu yangu juma lijalo ,tuonane hapo rwamishenye karibu na msikiti wa zamani nitakupa zawadi aisee nimefurahi wewe kuwepo bukoba
 
Back
Top Bottom