Umetoka Dar mpaka Bukoba kuja kunitafuta au kuna biashara zako

Umetoka Dar mpaka Bukoba kuja kunitafuta au kuna biashara zako

Acha uvivu nenda kamchukue hotelin mpeleke kule Rio de Janeiro Rounge akafurahie upepo mwanana wa ziwa
 
Mwamba ni mzito, alishindwa nini kukuchana hiyo mlipokutana.

Angemalizana na hii biashara yako kwanza kabla ya hiyo ya Ug.
 
mwamba kadata na figure ya mrembo,mtunuku tu haisomi km.
 
Hapo Bukoba mjini hakuna hotel ambayo IPO nje ya mjini ambayo ni kilometer 3.
 
Back
Top Bottom