JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa analala yeye, mke wake na watoto wote chumba kimoja. Akamwambia mke wake *Acha tujinyooshe wakishalala watoto, ukiona nawasha kibiriti nazima ujue nakuita njoo kwangu.* Mke Akakubali *Sawa...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Jaman jaman wanaume wa sikuhizi ni michosho kwani wanakwama wap?? Si vijana si wazee wote wanataka starter yaan badala mwanamke ndo aandaliwee wao siku hizi ndo tunawaandaa mmekuwaje lakini...
5 Reactions
189 Replies
12K Views
Good evening ladies and gentlemen! Bila ya shaka mmekuwa na ijumaa njema sana. Siku ya leo kwa mujibu Wa ratiba yetu tunaye cocochanel . Wengi mmekuwa na hamu naye Na leo ndio siku muafaka...
12 Reactions
347 Replies
20K Views
Hey guys mko poa nyie...... Naanzisha uzi huu kwa ajili ya watu wa Kigoma pekeee. Kama unaishi kigoma au kwenu Kigoma lakini ukatoka basi tukutane hapaaaa!!!!!! Kwa nia njema kabisa taja maeneo...
3 Reactions
393 Replies
30K Views
Mimi HANCE MTANASHATI au wengine wamezoea kuniita baba Tunda Sabasita, siku ya tarehe 06/08 ninatimiza miaka kadhaa hivyo basi nimeona mwaka huu niwaalike kidogo ndugu zangu wa JF kuna...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
I can't login instagram account, r u facing the same?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu Mimi ni kijana naomba kuwa katibu uenezi wa kuelimisha vijana nguvu kazi ndani ya chama kuwa puchu INA madhara yake na faida zake hivo inabidi wapige Mara...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Mwanaume kula chips mayai Kunywa savana/wine ya St. Anna Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani. Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa...
35 Reactions
469 Replies
23K Views
"NIKISEMA NAOMBA TUFANYE MATUSI NTAKUA NIMEKOSEA"?
1 Reactions
86 Replies
8K Views
Leo kwa wale mabingwa wa kidhungu tutajifunza sentesi ngumu za kizungu,tunaanzia hapa: 1)chungulia ndani ya chungu-POT CRY INSIDE THE BITTER. 2)nyooka,kata kona,kisha piga simu-SNAKE,CUT THE...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
MBUNGE ULAYA: Mheshimiwa Spika napenda kujua ni lini serikali itakarabati barabara ya Adam's court? WAZIRI: Mheshimiwa Spika napenda kumhakikishia mbunge kuwa barabara hiyo itajengwa katika...
7 Reactions
12 Replies
4K Views
Tanzania ndio nchi pekee ambayo jangwani kuna mafuriko. Tanzania ndio nchi pekee ambayo risasi inapigwa juu inaua chini. Tanzania ndio nchi pekee ambayo... Endelea
2 Reactions
46 Replies
7K Views
Nipo njiani naelekea shamba kuvuna mpunga kwakua ndio nilio upanda. Kumbuka kutenda mema kwa sasa ukiwa na uhai hapa dunia kwa kuwa ndio mavuno yako hapo baadae...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Imezoeleka /mara nyingi pombe hasa Konyagi humiminwa na hunywewa kwenye glass ikiwa na kipande cha limao au barafu. Nimeshangaa sana kumkuta jamaa anakunywa konyagi anaimimina kwenye kikombe cha...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Hope wote mu wazimaa..... ila kusema kweli jamani nimeimiss JAMII FORUM mpaka machozi YANANICHURUZIKA semaa huyu boss mpyaa anatupeleka mchaka mchaka mpaka nasahau kushika simu All in all...
1 Reactions
9 Replies
961 Views
Ukibisha sikushikii fimbo.. Weekend njema.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana? Naomba mnisaidie jinsi ya kuyaepuka haya matangazo maana nimekua nikikosa raha kabisa niwapo online. Yamekuwa yakijitokeza kila baada ya sekunde 3, 2, 1 yaani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu wenzangu na wadogo zangu pia. Sababu ya kusema hivi ni kwamba nimeangalia wanajamvi kwenye huu mtandao ni wengi mno ila wanao anzisha mada ni wachache sana. Kwanza...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body positivity imezidi kupamba moto mpaka kufanya wanawake kutojali miili yao...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…