JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution. Pia nnafunga na kufanya Engine Over...
5 Reactions
68 Replies
6K Views
Je coaster ikiwa na abiria na mzigo inakula mafuta lita 1 kwa kilometa 4 je ni sawa. Aina ya coaster ni 1hz. Ina miaka 2 tu. Na je ulaji wa kawaida wa mafuta ni kiasi gani. Ikiwa na mizigo na...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari wataalam, polen sana kwa kuumiza vichwa kuakikisha mnatoa msaada kwa matatizo ambayo yanatukumba madereva, mungu atakulipeni. mi nna shida moja, gari yangu ni raum, mwanzo ilikua ukifunga...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamii forum naomba kuuliza maximum speed ya boxer x125. Na je ni sahihi kuwa na speed ya mwisho 75km/h au kuna vitu natakiwa nirekebishe , pikipiki ni zile za zaman za gia 4.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nikiwa kwenye Pita zangu, mjini nimemuona huyu mnyama mpaka nikasisimka wandugu, Kitu kimetulia sana. Naomba wenye maelezo kuhusu huyu mnyama, kwa maana ya ufanisi, Bei na Kadhalika...
5 Reactions
227 Replies
19K Views
Habari ya muda huu wana JF, Naomba tupeane ujuzi wa maeneo wanapopatikana mafundi wazuri kwa vigezo vifuatavyo. 1. Ujuzi mzuri. 2. Bei nafuu. 3. Uaminifu. 4. Maeneo wanapopatikana Itakua sio...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kuishi kwingi ni kuona mengi.. Nimeona mengi yakibadilika kwenye ununuzi wa magari.. 1. Enzi hizo watu waliokuwa kwenye circle yangu hakuna aliyenunua gari kwa mkopo.. Gari tulidunduliza hela...
9 Reactions
5 Replies
917 Views
Nimepitia pitia akaunti mbalimbali za mitandao mingi inayouza magari ya mkononi, jambo ambalo sijaelewa ni kwamba magari mengi ya aina ya Crown yanayouzwa ni Yale CROWN ROYAL SALOON. Siyaoni sana...
4 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakuu habari za kazi, natumai wengi wenu weekend imeisha poa, naombai maoni yenu nina Gari yangu yangu ni Spacio new model natumia Tairi size 14/70/185 sasa uchumi umeyumba kidogo nataka Tairi za...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Natanguliza shukrani wakuu, Naomba mnieleweshe kidogo, hivi Gari hizi ndogo (HONDA FIT) zenye ukubwa wa engine 1.3 sawa na (cc 1330) zinaweza kuruhusiwa kufanyiwa biashara ya usafirishaji wa...
2 Reactions
21 Replies
8K Views
Habarini wadau , heshima kwenu kwakuwa wajumbe wa baraza hili. Wakulungwa naomba kufahamishwa, hivi gari za serikali especially hizi land cruiser V8 huwa serikali inaweka mafuta yapi kati ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamvi nawapongeza kwa maoni yenu mazuri juu ya masuala mbali mbali. Nahitaji kununua gari. Naomba kufahamu kati ya Nisan Dualis na Toyota allex ipi ya kuchukua apa na kwasababu zipi.
3 Reactions
34 Replies
7K Views
Habari wakuu. Nataka kununua gari, naomba mawazo ya uzoefu kati ya Harrier macho ya panzi na Vokswagen Touareg ni ipi nzuri ya kuchukua. Sina uzoefu wowote wa magari ya Volkswagen...
2 Reactions
91 Replies
22K Views
Kwa wazoefu naomba kufahamu hili, Nitajuaje kuwa gari ninayotaka kununua Kwa mtu kaichukulia mkopo sehemu?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ilikuwa ni sehemu ya parking ya magari mengi sana, nilishangaa kila nikifumgua gari kwa remote , kuna gari nyingine kama mita 10 toka nilipo nayo ikawa inatoa mlio kama inafunguka, nikifunga kwa...
5 Reactions
24 Replies
8K Views
Twende mbele turudi nyuma gari tamu bhana afu crown tajwa apo juu unyama saana ata crown athlete G
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa gharama za kubadili jina kwenye kadi ya gari niliyonunua.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
JF Magari,[emoji596] Msaada pls. Hiki kioo ni Site Mirror, Side Mirror au Sight Mirror?
0 Reactions
5 Replies
717 Views
Kwenye mfumo wa AC kuna kitu kinaitwa Cabin Air Filter, Hichi kifaa kinasaidia upate hewa safi kwa kuchuja vumbi, uchafu na chochote kisichotakiwa kufika ndani ya gari[harmful pollutants]. ...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika kupita pita katika website ya befoward nikaona hii crown [emoji146][emoji146][emoji146] na mtungi wake na kazi yake ni nini hasahasa
0 Reactions
9 Replies
966 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…