Habari za jumapili.
Ninatamani zaidi kufahamu kama upo uhusiano wa Moja Kwa moja kati ya kuongezeka Kwa utumiaji wa mafuta (petroleum) katika gari na muda uliotumia plug.
Pia muda sahihi wa...
Wakuu naombeni msaada na maarifa najiuliza sipati jibu kwanin Rav 4 old model ya body kubwa na kipis zote zimewekwa engine sawa japo moja ni kubwa nyingine ni ndogo kimaumbo
Wakuu,
Toyota Probox hii ina kama mwaka mmoja toka niingize nchini toka Japan. Imekuwa ikifanya vizuri toka nimeinunua ila hivi karibuni, ilianza kupunguza nguvu, haiendi zaidi ya 80KM/HR...
Uzalishaji wake ulianza 2005 Hadi 2009 si mwingine mbali ni mnyama wa barabarani nissani fuga GT 450 popote apitapo maajabu yake yanasimuliwa mpaka Kwa majirani huku kukiwa na matokeo matatu
GT...
Niko katika research yangu ya gari nzuri kwa sababu si muda mwingi nitamiliki.
Nimeitazama hii Mitsubishi Outlander imenivutia kimuonekano na uwezo wake wa kubeba raia kwa maana ya wingi wa seat...
Wadau Watalaamu wa Magari naomba kuuliza Je Kwa Gari aina ya Harrier inaweza kutumia lita ngapi za Mafuta ya Petrol kutoka Dar mpaka Sumbawanga Umbali wa Kilomita 1250?
Sent from my SM-J600F...
Habari wakuu,
Samahani naomba kujuzwa kuhusu lifuatalo. Kuna gari nimeiona nimependezwa nayo kutoka kwenye site ya trade car view.
Sasa nimeona hapo total cost ni kama inavoonesha hapo kwa...
Nakujuza Ili siku nyingine ukiona hii usitoe macho kama Jamaa wa Masters aliyeapply kazi ya sensa na akakosa, kabla hatujafika mbali unatakiwa kujua unleaded petrol ni petrol isiyokuwa na kiambata...
Wakuu,
Baada ya kuhanya sana huku na kule na kuona mipango ya kuweza kujenga mjini kabla ya kununua usafiri inazidi kwenda kombo kwa upande wangu,
Nataka nijilipue tu ninunue gari ya watu wa...
Wakuu nataka kununua mkweche na mm nimechoka kugongea magari ya watu ila budget yangu naona ni vizuri nikamiliki corolla sasa nimekuja kwenye mnipe ushauri kwamba kati corrolla X na Corrolla 111...
Kwenye pita pita zangu nimekutana na gari ya kwanza kabisa kusajiliwa kwa hapa nyumbani..
Haraka haraka inaonekana hii gari ni ya Mchaga.. AC ya kujaza.. Spare Tyre na spanner havipo..
Gear...