Mwenye uzoefu na AUDI A3 2012 2.0 perfomance yake nahitaji kuagiza pia ni ipi site nzuri ya kuagiza gari hapa bongo ambao hawana ubabaishaji.
AUDI A3 1.8 na 2.0 zipo vizuri au miyeyusho
Habari wadau,
Nimejichanga kwa kipindi kirefu sasa nimeamua kutafuta kigari cha kutembelea cha kutosha familia ya watu 5 (me, ke& watoto 3) kisichozidi 10m.
Binafsi sijui kuendesha gari na hata...
Wakuu habari,
Poleni na janga la corona. Nilikuwa nauliza kuhusu matumizi ya mafuta ya hi gari Nissan xtrail 2007 au 2008 ikoje kiuhalisia kwa wale waliotumia hii gari au wanijua vizuri...
Ndugu habari za jion, Kuna jambo nimeona tuambiane ukweli ili tuelimishane kidogo.
Kuna watu watu wanaagiza magari nje kupitia agents au mawakala mbalimbali mbaya zaid kuna agents wengine sio...
Wakuu hizi pikipiki kwa Bongo hazifai ...zinatoa moshi hatari ...nimeweka block mpya napo bado inatoa moshi Boxer ...nishaurini niweke block kampuni gan ili isiendelee kutoa moshi??
Salaam waungwana
Wakuuu mwenye kuijua hiyo gari tajwa anisaidie uimara wake na upatikanaji was spea,naona imenivutia sana sasa kabla ya kufanya lolote ningependa kupata ushauri wenu wajuvi wa magari
Toyota Crown ya 2004 kila ulikitembea km 37-40 hizo taa zinawaka kwa pamoja ikianza na taa ya check engine halafu ndani ya sekunde chache zinawaka hizo zingine kwa pamoja. Ukizima gari na...
Wakuu, kuna faida gani na risk nikinunua gari South Africa na nikisajili kule kisha nikaja nalo Tanzania nikawa natembelea huku kwa plate number za kule.
Wakuu habari za mihangaiko ya hapa na pale, Naomba kupata ufafanuzi kidogo kati ya gari hizo tajwa hapo juu katika vipengele vifuatavyo:
1. Uimara wake rough road
2. Upatikanaji wa vipuri
3...
Nina Gari nimetoka kuitengeneza ilikuwa inaonyesha check engine wakanambia mikolokolo kibao wakatengeneza Ile check engine ikatoka kwenye dashboard sasa nimeendesha kama siku 4 hivi ukiwa ndani ya...
Habari wandugu na wataalamu,
Nina passo racy ambayo hizi siku za karibuni imeniletea ugonjwa ambao nahitaji msaada wenu kama ulishawahi kukutokea na ukaisove vip?
Gari ni kwamba ukitembea kama...
Habari za jioni ndugu zangu,
Sina uzoefu na magari ila nimejichanga na nimepanga kununua gari isiyozidi 16M na yenye cc isiyozidi 1490cc mpaka 1990cc. Kwa muonekano wa nje mana sio mzoefu wa...
Habari wataalam.
Nimevutiwa na hili gari, lakini haha nilipo Sina taarifa za kutosha kuhusu ubora na changamoto zake. Na kwa kuwa jukwaa hili Lina wataalam, ninaomba kusaidiwa kujua kabla...
Habari wakuu,
Baada ya kupitia threads kadhaa zilizojaribu kuonyesha gharama halisi za kutoa gari bandarini, nimepata 'mawili-matatu' lakini bado kuna vitu vinanitatiza.
Mchangiaji wa kwanza...