Naomba ushauri kwa wazoefu, mtaji wangu ni mil 6
1. Kwa kuwa mtaji ni mdogo, je nianze na vitu gan ambavyo vinatoka mara kwa mara
2. Nipo mkoani (moshi) ni wapi nitapata chimbo la hizo spea kwa...
Habari za wakati huu wakuu!
Naomba kujua nini kinasababisha gari kutumia sana oil mfano kwa wiki tatu unaweza kuongeza oil mara moja na hakuna leakage yoyote.
Na nini kifanyike ili kuzuia...
Nahitaji pikipiki aina ya Honda XL/R au yoyote imara walau yenye CC 250.
Sipendi pikipiki ambazo zipo kama za mashidano (kifua kinakaa kwenye tank).
Kumvua mtu poa ila engine isiwe imeguswa hata...
Wakuu naomba mnisaidie Mazda Demio DY3Y imekata fenibelt na sijajua wapi kipande kimedondokea.
Naomba kujua ni saizi gani na Bei yake ni kiasi gani na ni wapi naweza kupata.
Ahsante
Kama huyu alifungiwa redio waya wakachukulia kwenye battery, wakapush kile kiraba kinachozuia maji na takataka zingine kuingia ndani ya gari kutokea kwenye engine ili wapitishe waya. 👇👇
Bahati...
Modification=TURBO na INTERCOOLER kwa 1HZ.
FAIDA MBILI KUU ZA TURBO
1. Kuongeza nguvu ya engine
-Turbo huongeza msukumo wa hewa safi kuingia katika engine na hivyo kupelekea uchomaji wa haraka...
Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution.
Pia nnafunga na kufanya Engine Over...
Hili linawezekana ikawa ni kwa sababu ya tabia yangu ya sasa baada ya Kuyumba kiuchumi, naweka mafuta ya 30, 20 mpaka 10.
Gari yangu ni 1.8L petrol, trip zangu nyingi ni town trip then home...
Habari ndugu,
kuna huu utaalamu wa Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto unaofanyika hapa Tanzania na DIT udsm-engineering (Sina uhakika kama kuna tasisi nyingine...
Naomba wataalamu mnisaidie mada tajwa hapo juu nimekutana na markII namba A jamaa anataka 2.5M is he correct? Vip vipul na ulaji wa mafuta mim ni mgen kwenye magar
Kwa miaka zaidi ya mitatu (3) imetokea trend kubwa ya wabongo wengi kuipenda hii gari ndiyo maana Leo nimeona na Mimi nikiwa kama shabiki na mmiliki wa hii ndinga niisifie Kwa mambo machache...
Wakuu gari iliwekewa engine oil ikawa juu ya maximum leo.
Gari ilikua na sign ya kuvujisha oil ndo maana ikawekewa nyingi lakini sasa inaonekana oil haipunguzi.
Je, hii inaweza ilaleta madhara...
Wakuu kuna Raum nataka niinyanyue kwa inchi kadhaa. Nilipitia nyuzi nyingi humu nikaona wengi wanashauri kutumia aluminium spacers. Ila kwenye pitapita yangu mitandaoni nimekutana na maelezo...
Inasemekana Boeing ndege zake ni nzuri zaidi kuliko ndege za Airbus, uzuri wa Airbus ni comfortability kwa ndani, wakati Boieng ina ladha yake yake kwa ndani na kwa nje tofauti na Airbus.
Kwenye...
Wataalam nataka kubadilisha top cover gasket ya 3sfe engine(toyota noah),je mbali na gasket na gasket maker kuna kingine cha kubadilisha?ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kufungua na kufunga...
TAASISI ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imeanza kuunganisha magari kwenye mfumo wa matumizi ya gesi asilia badala ya petroli na kwamba hadi sasa magari 150 yamekwishaunganishwa.
Akizungumza...