Mwenye experience ya Kusafiri na Air Tanzania kutoka Dar es Salaam kwenda Nairobi Kenya, Naona utofauti wa Nauli kati ya TWIGA BASIC na TWIGA BUSINESS ni MKUBWA SANA. Naomba Kujua kuna nini...
Wajuba poleni na majukumu ya kuendelea kulijenga taifa letu wengi wetu tunapitia changamoto za kukatika umeme,maji na baadhi ya bidhaa kupanda wenye mamlaka huu mzigo tumewatwisha ninyi
Nije...
Wadau naomba Msaada.Nataka kununua Harrier 240G ya Mwaka 2006/2007 he nitumie Mbinu gani kupata Gari nzuri na IMARA?
Je, kampuni gani hapa Dar inaagiza Magari hayo Imara?
Nina Toyota Mark X Grx120 ya 2008 nilinunua 2019 mpaka leo ninavyoandika nishabadilisha betri 4 N50 dry cell 3 na ya maji 1 zote zimekufa , Sijajua sababu mpaka sasa naomba msaada kwa anayeweza...
Kuna mtu kaniomba ushauri hapa kwamba ana milioni 35 anahitaji gari nzuri ila isiwe vanguard ama harrier.
Mimi sio mtaalam wa magari, naomba mnaojua magari mnipe mawazo nikampe mshikaji.
Ahsante.
Mzuka wanajamvi!
Range Rover 2022 itakuwa ya aina yake. Japo kimuonekano siyo tofauti Sana na Range Rover za awali kuna maboresho ya taa za nyuma ambazo zitazitofautisha na Range Rover...
Habari zenu wakuu,
Natumaini ni wazima vinginevyo pole kwa changamoto mnazopitia. Naomba kufahamu soko la kozi ya diploma ya automobile engineering kwa upande wa kujiajiri, vipi ni fani yenye...
Mambo vp wakuu,
Hivi kwa hapa Dar es Salaam wapi nitapata huduma ya fuel injector cleaning ? Najua mafundi wengi wanaweza kusafisha fuel injector lakini naulizia sehemu ambayo wanasafisha fuel...
Poleni na hongereni kwa majukumu yote,
Naomba kuuliza mwenye kujua bei za makampuni yanayouza trekta za kilimo majembe na hallow kwa cash na mkopo gharama zake kwa ujumla kuanzia hp 50 na zaidi...
Wakuu habari,
kuna jamaa anafanya biashara ya kuagiza magari, ananiambia hummer h3 inauzwa kwa milioni 70 yaani hapo gharama zote mpaka ushuru na kila KITU,Hivi hizi ni habari sahihi kweli?
Haya...
Jaman Wana jukwaa poleni na majukumu .
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu ..gari langu limekua na tatizo la kugonga gonga nakuutoa kishindo maeneo ya taili la mbele upande wa kushoto.
Binafis...
Wadau kama thread hapo juu inavyojieleza namba hizo zinzkua zinaaanisha nini? kama yupo anayezijua maana yake anisaidie manake.
Ninataka natafuta gari naambiwa ngari ipo vizuri namba D Mwingine...