Habari zenu wadau, bila kupoteza mda naomba kujulishwa gharama za ushuru zinavyokuwa iwapo nitanunua gari au mashine kutoka kwa mtu nchini Kenya ambayo ni used ilikuwa inatumika na mkenya, ushuru...
Hii Toyota Brevis ninayo toka 2013. Machine haina shida wala kipengele chochote. Ila rangi nimeshabandika sana mitaani.
Sasa nataka iwekwe rangi upyaaaaaaa iwe sexy kama imetoka jikoni leo. Ndani...
Boti ndogo zinatumia injini za Nje(Outboard Engine) zimetengenezwa kulingana na mapigo ya injini (engine stroke/cycle). Hapa kuna aina mbili (2) injini kulingana na mapigo Kuna 2 Stroke Outboard...
Nina ka milioni 3 hapa na akili inanituma ninunue Toyota mark 2 number A either iwe chaser au grande.
Vipi kuhusu uimara wake
Fuel consumption
Service
Uwezo wa safari ndefu
Cc zake.
Gari za...
Husika na mada hapo juu wanaJamiiForums. Huu mwezi nimesifiri na hizi basi ABC upper class ni Yutong na kisbo ina chata ya Higer nimeona utofauti Yutong hazina utulivu barabarani.
Barabara zetu...
Jamani mwenye uzoefu na hizi chip zinazochomekwa kwenye OBD2 kw ajili ya kuratibu na kupunguza ulaji wa mafuta anisidie Kama kweli zinafanya kazi
Asante
Wakubwaa naomba kujuzwa.
Kume kuwa na kamchezo watu wananunua aina hii ya Magari yakiwa mabovu sanaa yamechakaa kisha hupelekwa Garage na kutengenezwa na kuwa mpyaa kabisaaa.
Kuulizia wanazengo...
Wiki ya nenda kwa usalama imeanza katika baadhi ya mikoa, ambapo itaambata na ukaguzi wa vyombo vya moto pikipiki, gari ndogo na kubwa na baada ya ukaguzi mmiliki analipia stika (pikipiki) Sh...
Kwa mwenye uzoefu au idea na gari za VW-Golf naomba kufahamishwa kama ni reliable car yaani kama zinapiga kazi vizuri au garage mara kwa mara na fuel consumption yake pia au bora nibaki tu huku...
Wadau habari za siku? Natumai mtakuwa vyema kwa wagonjwa na wenye matatizo poleni. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba kujua tofauti ya gari hizo hasa kuanzia models za kuanzia...
1. Nawezaje kuagiza trekta used toka South Afrika.
2. Ni kampuni ipi ya South Afrika ni ya uhakika kwenye kuuza hizo machine
3. Gharama ya kusafirisha mpaka Bongo inaweza kuwaje?
4.Nimeona...
Nina gari tajwa hapo juu ambayo anaitumia mke wangu, lakini naona kama itanifilisi inatumia sana mafuta ya Lita 1 inakimbia km 6 na wakati nilinunua gari hii nikijua ni nzuri kwenye mafuta, gari...
Habari wakubwa kwa wadogo. Awali ya yote nipende kumshukru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai, Maisha, pia zawadi ya kkutanishwa na watu mbalimbali, wenye mawazo mbalimbali, na mitazamo mbalimbali...
Hery ya Mwaka mpya 2020.
Kutokana na uvivu wa kufanya mazoezi ya viungo, kupanda kwa gharama za Maisha (hata jamiiforums hawapati matangazo 😢😢😢).
Nataka niaze kutumia Usafiri wa BAISIKELI...