Wakati tukiwa katika karne ya 21 huku tukiwa tunashuhudia teknolijia mbalimbali duniani ambazo zinakufanya kushangaa nakuona kama ni kiini macho huamini amini;
Hivi katika kuendeleza teknolojia -...
Kimeumana kati ya mjapani (Tokyo) [emoji627] na mjerumani (Deustch land)
Matengenezo ya hapo unanunua Starlet used [emoji16][emoji16]
Mambo ya SA hayo [emoji1221]
Sent from my phone using...
Habari za kazi wadau!
Juzi kati nilibadirisha tairi kwenye gari yangu, nikaweka tairi la spea.
Kwenye gari yangu kwenye kila tairi moja kuna nati moja ya lock ambayo inafunguliwa na spana yake...
Mzuka wanajamvi!
Mjerumani kaamua kutoa kifaa kipya cha umeme EQS electric car ambayo ni tishio kwa Tesla. Inaaminika is the most luxurious electric car in the market.
Gari hili linalotumia...
Mitsubishi imesema kuwa majaribio ya matumizi ya mafuta yalifanywa kwa njia isiyo sahihi.
Kampuni ya kuunda magari ya Japan ya Mitsubishi, imekiri kufanya makosa kwa tamwimu za matumizi ya mafuta...
Nimeona watu wengi wana negativity na haya magari.
Naomba wataalam mtueleze kama magari haya yana shida ki UFUNDI.
Naona watu wengi wanayasema vibaya japo sijaona hata mmoja akiyaelezea ki...
Nimesogea mitaa ya Bata, Tabata. Wadau gari yangu ni Toyota mbele chini inagonga. Nilikuwa naishi mitaa flani barabara mbaya sana inagonga kama watu wanapiga ngoma ya mdundiko.
Natafuta fundi...
Wanajamvi, tafadhali naomba kuuliza engine za Verossa VVTi , bila magumashi Dar hii ntapata wapi!? Yangu imezingua na nataka niipige chini iliyopo Ili ni exchange gari nyingine,
Je Bei zake...
Huu uzi nmebase kwenye gari zote ambazo ECU (Control box) ipo upande wa engine ambapo zaidi ya asilimia 90 ya gari za Ulaya na Marekani zinaingia hapo.
Ingawa zipo gari nyingi tu za Asia ambazo...
Kwema wataalam?
Nilinunua Premio ya 1.8 L kwa mdau mmoja, shida ilikuwa ni tairi za mbele kugonga na pia ukiwasha AC inakuwa kama kuna kamlio ka nyaya kama kugusana hivi...kama msikiavyo Nyaya za...
Wakuu nina gari yangu Toyota Sienta cc1490 sasa betry lake naona limeisha maana ukizima gari kabla ya kuzima vitu vingne vyote kwanza haiwaki hata mbingu ishuke mpaka ubust ndio inawaka ila...