JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu kwema? Anahitajika fundi wa refrigirated truck gari ipo Mabibo Dar es salaam. Kama kuna fundi humu anicheki PM au la kama kuna member anajuana na fundi yoyote mzuri kwa kazi hizo naomba...
0 Reactions
3 Replies
812 Views
Habari za kazi wanandugu. Kazi iendelee ila irekebishwe kidogo maana tozo na ugaidi vimezidi. Twende kwenye mada. Mimi nina uzoefu kidogo kununua magari kutoka Beforward, kwa mara ya kwnza...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hello team Magari ,naombeni ushauri wenu ,nina mpango wa kuagiza hii Suzuki Jimny sasa sijajua ni ipo Bora Kati ya Manual Transmission au Automatic transmission msaada wa ushauri please
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Habari Gari inapokuwa kwenye mwendo nikaachia accelerator bila kufunga brake halafu nikikanyaga tena gari inastuka. tatizo ni nini. hali hyo haionekani ikiwa gari inaanzia kwenye kusimama. Asante
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Uzi huu nimelenga engine za petrol. Kwenye engine za petrol kuna misfire za aina mbili. Aina ya kwanza ni ile inayosababishwa na Rich mixture. Yaani mafuta yanakuja mengi sana kuliko yale...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Nina gari Toyota pick up vigo (2005). Natamani kubadilisha brake za nyuma zitumie disc badala ya brake lining zilizopo Nifanyeje wapendwa? Naomba nishaurini tafadhali kama inawezekana
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu wasalaam! Natarajia kuagiza hili gari hivi karibuni kama mambo yatakaa sawa! Bei zake nakuta ziko juu kidgo kuanzia 9M hadi 15M kwa site ya befoward kabla ya kodi ya tra. Naombeni ushauri...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau nataka kujua ni dealers yupi anauza magari Japan kwa bei nafuu kidogo. Nataka niagize gari. Naombeni msaada
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza hivi ile treni ya kwenda Arusha bado inafanya safari zake au ni msimu wa sikukuu tu?
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii gari iko vizuri kwa kila kitu - Good fuel consumption - Comfortability - Speed - Muonekano - Price (ina range kati ya 12.5 hadi 14) Gari unique sana (japo inashare spare parts na baadhi ya...
3 Reactions
8 Replies
8K Views
Hatimae mfalme wa 4*4 imara kutoka Japan amekuja kivingine ikiwa ni toleo jipya na muendelezo wa 200 series,,, hi ya sasa ni completely re-design iitwayo 300 Series! Wasifu wake: Imeboreshwa kwa...
35 Reactions
269 Replies
29K Views
Wakuu igweee Nina gari yangu fuso tani 20 imepata ajari pale mitaa ya Kibaha Sasa nataka kwenda kunyosha na nimeambiwa na watu gereji mzuri ziko Moshi So kwa watu wenye uzoefu tafadhari sana...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wanajamvi naombeni msaada, Natafuta user & instructions maual ya Toyota Noah, road tourer 2000, nimejitahi ku google lakini wapi, msaada kwa mwenye nayo au anaejua ntapata wapi. au nitumie pdf inbox.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu hivi karibuni natarajia kununua chombo cha moto (piki piki) Mapendeleo yng ni kuwa na piki piki aina ya boxer,lkn naziona zipo tofaut tofaut,zingne nasikia zinaitwa mdomo wa mamba.. Kwa...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari za muda huu wanajamvi, Naomba kuuliza engine za corolla 4E ni kiasi gani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wataalaamu wa magari, Sikiliza audio ya silencer kama nilivyoirekodi kwenye engine ya Toyota IST. Kuna mlio wa 'kugonga' hivi kwenye engine. Asubuhi napowasha gari hamna shida, silencer inakuwa...
2 Reactions
47 Replies
9K Views
Kwa mara kama ya tatu nimeendesha crown athlete but this time nimekwenda umbali, model yr 2009, nimetoka nayo Mwanza nikaingia Mara (Sirari) nikavuka boda nikaingia Kenya kwa jamaa yangu...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Naitaka hii show alikuenayo plz anicheki ni ya Volkswagen polo batan zote zinafanya kazi issue tu show imevunjika njoo inbox fasta kama kuna muuza speak aje Au anaeijua Bei yake hii.
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Gari yangu aina ya toyota liteace ya dieseli ina toa muungurumo mbaya na kutoa moshi. Pia taa ya check engine inawaka. Fundi wa kwanza akasema tumeweka mafuta machafu hivyo tusafishe tank. Fundi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…