Habari za muda huu rafiki na jamaa,
Mimi napenda kujifnza ufndi wa pikiki, lakini sijui ni aina gani ya pikiki ukijua kuztengeza huweza kuleta kipato zaidi na kujifnza huko huweza kuchukua muda...
Msaada wakuu, gari yngu ilikaa pasipo kuwashwa Kwa almost a year, Leo nilikua nataka kuiwasha ikakataa so nikaita fundi umeme na engine. Baada ya kuhangaika sana computer ya fundi umeme imeleta...
Wasalaam,
Leo ningependa kuiongelea kidogo gari tajwa hapo juu ambayo ni miongoni mwa gari pendwa kwa wengi kutoka kwenye kampuni ya Toyota.
Toyota Allion ni gari ndogo (sedan/saloon car) yenye...
Ndugu zangu nimatumaini yangu wote niwazima, nina Toyota Allion ambayo in a ratio lakutetemeka pindi ukiwasha a/c.
Nilijaribu kupeleka kwa mafundi wakaniambia nibadilishe compressor na...
Wanajamvi na wazoefu naomba kujua nitumie kitu gani kusafisha tope lililoganda chini ya gari, kwenye engine, oil sump na sehemu zingine. Kwa presha washer imeshindikana kutoka.
Msaada tafadhali...
Mimi ni kijana ambaye niko jiji Dar es Salaam katika harakati za kutafuta pesa nmefikiria kununua boda boda ili niweze kujiongezea kipato lakini kutokana na boda boda mpya kuwa gharama sana...
Wakuu Salaam.
Naomba Kujua Faida za Injini ya Petrol pia za Diesel.
Na Je, ni Injini ipi bora kati ya hiz mbili.
Interms of Durability na Performance.
Naombeni Michango yenu.
Hii Tesla Cybertruck inabadili tafsiri ya gari kwa karne hii. Hii gari kimuonekano ni kama SUV lakini hili ni Pick up!.
Cha kuipa sifa zaidi yenyewe ni EV - electric vehicle lakini imeweza...
Wakuu naulizia vile vifaa vya kuweza kudetect na kufanya diagnosis ya gari ndogo mwenye ujuzi navyo..
Nimepata access ya kununua China, ila sijajua ipi inaweza kuwa nzuri zaidi.. mwenye picha au...
IFAHAM TOYOTA PROGRES- kwa ufupi
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagiza Magari
Utangulizi
Gari hii ndogo ya starehe ilizalishwa miaka ya 1998- 2007. Mshindani wake ni Lexus IS ingawa Progress...
Habarini Wana jamvi,
Nilikuwa naulizia bei au gharama za kununua BMW X3 kwa mtu. Maana nikubali sana hii Mashine ya Mjerumani so naombeni kujuzwa ili nilifanikisha hili Inshallah
Msaada kwenye tuta
Nina kagari kangu naona rangi kama inafifia ila bado si mbaya sana.
Napenda kujuzwa yafuatayo hasa kutoka kwa mtu ambae ameshafanya polishing au waxing kwenye gari yake
1...
Mafundi wa gear box auto, naomba msaada wenu wa ki ufundi gari hii ilikuwa nzima na inabadilisha gia vizuri tu, tatizo limekuja pale ilipoguaa kwenye sampo hapo ndipo shida ilipoanza, kidupi ni...
Naulizia iko vipi kuchongesha gari yako na kuifanya na muonekano tofauti na ilivyo toka kiwandani.
Kwa mafundi wanaweza waka boresha muonekano wa gari kwa mbele tofauti na ilivyo asili ya gari...
Nataka kuongeza ground clearance ya gari (Toyota Isis) kwa kubadilisha tairi kutoka 195/65 R15 na kuweka 195/70R15 Je hiyo itasaidia? Na je inaweza kuwa na athari zozote hasi kwa mwenendo mzima wa...
Kampuni ya Hyundai imesema imepiga hatua kubwa katika kutengeneza magari yanayoweza kupaa, na kuwa ndoto yake ya kuwa na magari hayo inaweza kutimia kufikia mwishoni mwa muongo huu.
Kampuni...